- Thread starter
- #21
Hawana lolote hao. Ni makondoo tu yapo machinjoni. Kanisani wanaenda kufuata miujiza siyo kujifunza neno la Mungu.mlokole halisi una jibu la hili swali Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana lolote hao. Ni makondoo tu yapo machinjoni. Kanisani wanaenda kufuata miujiza siyo kujifunza neno la Mungu.mlokole halisi una jibu la hili swali Mkuu?
upako ukishuka utasikia yeimeeen za kutoshaYeimeen tena. Duhh🙃
Unajua sayansi ya lugha? Phonetics ina maasna sana. Neno BARABARA lina maana mbili tofauti kaUtamkaji wa mbwembwe tu badala ya "amina"/"amen"!Una swali lingine au unawachukia tu?
Kilatini?? Nipe hayo maneno maana Kilatini nakijuaKuna mchungaji mmoja anatumia maneno yale yale anaponena Kwa lugha lakini nilipofuatilia kunena Kwa lugha nikagundua kuwa yale maneno huwa hayajirudii na yanakuja automatic. Sasa huyu baba mchungaji anayarudia ana maana gani jameni? Au ndo kilatini.
Ndio nasema taifa letu linahitaji sana tiba ya AFYA YA AKILI. Hakuna mtu mwenye afya timamu ya akili anaweza kwenda kwa hawa matapeli wa imani.Kuna watu wanatapeliwa na mwamposa huku wanasema "Ameen" itakua ni kinyakyusa
Eti "shokorobaro rere rere shukorobarorarere".Kilatini?? Nipe hayo maneno maana Kilatini nakijua
Good defence anyway. Basi tutumie ipi? We are not Jews after all.
Kila siku naomba Serikali ilitupie macho jambo hili. Ni wizi wa mchana kweupe.Walokole wana mambo sana!
Kuna haya makanisa ya mitume na manabii... Haya huwaga siyaelewi aiseee! Mtu hasomi biblia, anasomewa na mtu mwingine ikifika muda wa kuombea akipuliza tu maiki watu wote wanaanguka! Huu si uchawi huu? Na kila mtu ana maji au mafuta yake anayoyauza kwa kisingizio cha kuleta mafanikio kwa watumiaji
Kutumia lugha haimaanishi wewe ndio unakuwa jew.Good defence anyway. Basi tutumie ipi? We are not Jews after all.
Eti "shokorobaro rere rere shukorobarorarere".
Kila kikicha ni hayo hayo.
Nilimhoji mwanatheolojia mmoja professor wa Biblical Theology akanijibu eti hiyo ni coded language. Usisikie mtu anaitwa professor, wengine ni hewa tu🥰🤣Kila siku naomba Serikali ilitupie macho jambo hili. Ni wizi wa mchana kweupe.
Umenena vema. Kwa nini basi tusitumie lugha zetu instead tunakopa kwa wale tunaowatuhumu kwa kumkataa Yesu kama MASIYA????Kutumia lugha haimaanishi wewe ndio unakuwa jew.
Ukisema amina kwa kiswahili sio dhambi,ukisema kwa kiingereza amen sio dhambi na ukisema kwa kiingereza hakukufanyi uwe mzungu.
Ni kuonesha unakubaliana na kilichosemwa/kinachozungumzwa.
Vipi wala panadol na energy drinks?.Upumbavu tu. Na taifa letu lina tatizo kubwa la afya ya akili. Watu wanapelekwa machinjoni na hawa matapeli ambao wamejificha kichakani panapoaminika hata mkono wa dola hautawagusa. They have found a cheap green pasture!
Kuna mungu misri ya kale alikuwa anaitwa AMON ndipo chimbuko la neno AMEN!Hata hilo si wala Kiebrania wala Kigiriki, achilia mbali Kilatini kwenye tafsiri ya Vulgate.
Issue sio amen. Hapa tunaulizwa 'aimeen'
😃 😀Haya makanisa yanayoota kama uyoga yanayojiita ya kiroho yana vituko achilia mbali hiyo miujiza feki. Eimeen ni neno la lugha gani? Siyo neno halisi katika lugha mama za biblia.
Kwa hiyo ukilivuta neno kidogo tu ndio linafanya mtu anaumia rohoni mwake ,anateseka sana kiasi cha kufungua uzi?Issue sio amen. Hapa tunaulizwa 'aimeen'
Kobazi hujawahi kuwasikia wakiitikia?Haya makanisa yanayoota kama uyoga yanayojiita ya kiroho yana vituko achilia mbali hiyo miujiza feki. Eimeen ni neno la lugha gani? Siyo neno halisi katika lugha mama za biblia.
Kwa hiyo umeanza kumfundisha mwalimu wako?Mfundisi?Unajua sayansi ya lugha? Phonetics ina maasna sana. Neno BARABARA lina maana mbili tofauti ka
Ukingana na phonetics. Ni mfano mmoja tu ila iko mingi. Usiwatetee hawa matapeli. I promise you kama wangekuwa katikati ya mahubiri yao halafu ukaja ujumbe kwamba Yesu ameamua kukagua makanisa na anakaribia hapo hao wahubiri wangekuwa wa kwanza kutafuta mlango wa kutokea.
Na wanaojua kiingereza ndiyo wanawashika balaa. Unakuta mtu alizamiaga South au Ulaya zamani sasa kiingereza kipo kipo. Anaamua kurudi bongo na kufungua kanisa. Basi anahubiri kwa kiingereza na anakuwa na mtafsiri.Siku hizi wachungaji wamekuja na utaratibu wa kuhubiri wakiwa wawili, moja anatamka maneno mwingine anayarudia yale maneno. Wanawake wakisikia vile huwa wanapandwa na orgasm, duh!