"Eimeeenn!" ni neno ni la lugha gani?

"Eimeeenn!" ni neno ni la lugha gani?

Ni neno linalotokana na mungu wa misri ya kale aliyeitwa Amun Ra ama Amen ra. Ni jina la mungu mkuu wa misri lililochukuliwa na waebrania na baadae waislam na wakristo pia walilichukua na kuanza kulitumia.
Asante sana kwa mchango wako. Nitafanya utafiti kidogo
 
Sawa mkuu.
2.Kutoa sadaka/zaka/fungu la kumi ni utapeli?
Siyo utapeli ila matapeli ndio wamepata chimbo la kujifichia maana huko huulizwi na mamlaka yoyote unapiga bingo tu za watu wenye upungufu wa afya ya akili. Miujiza yenyewe ni feki. Nimeuliza humu mbona hawafanyi miujiza ya kuponya amputees lakini wote wamekimbia hilo swali. Ni utapeli tu hakuna lolote humo ni majizi tu yamejificha kwenye kichaka cha imani ya dini ya Kikristo. Na kwa sababu huko hakuna anayewagusa basi kila siku matapeli yanaanzisha makanisa. Makanisa yenyewe theme yao ni ileile ila majina tofauti. Upumbavu mtupu na NI AIBU KUBWA KWA IMANI YA KIKRISTO.
Sawa mkuu.
2.Kutoa sadaka/zaka/fungu la kumi ni utapeli?
 
Sawa tu basi waliweke na kwenye maandiko😁
Imezuiliwa au hairuhusiwi kuongeza au kupunguza neno lolote katika Biblia Takatifu(Kumb. 4:2 na Mithali 30: 5-6) Labda waanzishe kitabu chao halafu waliweke humo.
 
Imezuiliwa au hairuhusiwi kuongeza au kupunguza neno lolote katika Biblia Takatifu(Kumb. 4:2 na Mithali 30: 5-6) Labda waanzishe kitabu chao halafu waliweke humo.
Hilo linahusu kitabu cha ufunuo tu siyo biblia. Biblia ni scriptural cannon ambayo wanadamu walichagua maandiko yapi yawekwe pamoja. Sijui ni ujinga wa kiwango gani unamkuta hata professor wa biblia anayachukulia maneno ya mtume Yahana kwamba alimaanisha usiongeze au kupunguza kwenye Biblia. Upumbavu mtupu. Wakati Yohana anaandika kitabu cha Ufunuo hapakuwa na hii biblia tuliyo nayo leo. Tuache kufundisha upumbavu.
 
Imeisha hiyo.
 
Haya makanisa yanayoota kama uyoga yanayojiita ya kiroho yana vituko achilia mbali hiyo miujiza feki. Eimeen ni neno la lugha gani? Siyo neno halisi katika lugha mama za biblia.
Nenda shule dogo.
Hilo neni ni AMEN unayoijua wewe. Inaweza kutamkwa kwa namna tofauti ikiwa ni pamoja na EIMEN!!
 
Haya makanisa yanayoota kama uyoga yanayojiita ya kiroho yana vituko achilia mbali hiyo miujiza feki. Eimeen ni neno la lugha gani? Siyo neno halisi katika lugha mama za biblia.
Kunena kwa lugha kaka
 
Haya makanisa yanayoota kama uyoga yanayojiita ya kiroho yana vituko achilia mbali hiyo miujiza feki. Eimeen ni neno la lugha gani? Siyo neno halisi katika lugha mama za biblia.
Wewe ni Aminiiiii. Hiyo eimen tukiitoa mdomoni mwa waumini ni kama wanasema "hey men" kwa tafsiri "nyie watu" 🤣
 
Nenda shule dogo.
Hilo neni ni AMEN unayoijua wewe. Inaweza kutamkwa kwa namna tofauti ikiwa ni pamoja na EIMEN!!
Ndiyo nimesema tulirasimishe hilo tuandike hivyo pia. Wala sina ugomvi na Eimeen. Let us document it and close the case😊. Si ndiyo wanaita evolution of language.
 
Imeisha hiyo.
Martin Luther mwenyewe alivifyekelea mbali vitabu 7 kwenye Biblia ndiyo sasa kuna hii biblia makanisa ya kiprotestanti na haya ya kiroho yanaitumia halafu mtu anatumia biblia hiyohiyo kusema ati mtume Yohana alisema usiongeze wala usipunguze!! Ujinga tu na translation of Bible verse out of context.
 
Back
Top Bottom