nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Ukiona kila mara unakelwa na walokole ujue unakaribia kuokoka, walio mbali na wokovu sahizi wanaangalia porno, muziki, muvie, Mpira, hawana muda na eimeeen, hawajawahi hata kuisikia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante - nilikuwa sijui ndo hiyo. Nimejifunza kitu hapo 🙏Spanganati ni potassium permanganate, nilikuwa naitumia kufanyia fumigation ukiichanganya na formalin unapata formaldehyde gas moshi wake bomu la machozi nanusu.
Mhh. Hilo sijalijua. Nitalitafiti.Vipi wala panadol na energy drinks?.
Hapana ndugu hiyo si kweliKuna mungu misri ya kale alikuwa anaitwa AMON ndipo chimbuko la neno AMEN!
Si kama nyie mnaosema aminaHaya makanisa yanayoota kama uyoga yanayojiita ya kiroho yana vituko achilia mbali hiyo miujiza feki. Eimeen ni neno la lugha gani? Siyo neno halisi katika lugha mama za biblia.
Kuokoka maana yake nini? Uzima wa milele ni kumjua Mungu wa kweli. Hawa walokole wanaohubiri miujiza ni upumbavu wa kiwango cha juu kabisa.Ukiona kila mara unakelwa na walokole ujue unakaribia kuokoka, walio mbali na wokovu sahizi wanaangalia porno, muziki, muvie, Mpira, hawana muda na eimeeen, hawajawahi hata kuisikia!
Lugha za kukopa ukikopa vibaya ndio shida inapokujaSi kama nyie mnaosema amina
Wakati huyo amina akiwa kwenye singeli ni mtu mwengine kabisa yeye na mama yake😀😀
Duhh🤣🤣Hawa jamaa ni wahuni sana.
🤣🤣😜, na wewe ni mlokole gashinaga!Halafu wale wachungaji wanaowaweke watu mikono vichwani wananikera mno. Mchungaji mmoja alikuwa anamwombea demu wangu huku amemwekea mkono kichwani, Sasa demu akawa mgumu wa kuanguka mchunguaji akaamua kumtegea mguu Kwa mbele na kukishika kichwa Cha demu Kwa nguvu Kisha akamsukuma chuni. Demu alianguka mpaka mapaja yakaonekana.
Nilikasirika mpaka nikasonya kanisani.
Kwaio wew nahuyo dem wako wote nikondoo wahuyo jamaa aisee mwanaume unakuaje wahovyo hivyo hayo mambo wachie wanawakeHalafu wale wachungaji wanaowaweke watu mikono vichwani wananikera mno. Mchungaji mmoja alikuwa anamwombea demu wangu huku amemwekea mkono kichwani, Sasa demu akawa mgumu wa kuanguka mchunguaji akaamua kumtegea mguu Kwa mbele na kukishika kichwa Cha demu Kwa nguvu Kisha akamsukuma chuni. Demu alianguka mpaka mapaja yakaonekana.
Nilikasirika mpaka nikasonya kanisani.
Soma historia ya dini yakoHapana ndugu hiyo si kweli
HahahahKwaio wew nahuyo dem wako wote nikondoo wahuyo jamaa aisee mwanaume unakuaje wahovyo hivyo hayo mambo wachie wanawake
Mlokole ndio kabila gani? Au unamaanisha hawa wapumbavu wanaoliita jina la Yesu feki kukemea pepo usiku kucha?Ni lugha ya kilokole
Ukiivuta Amina ndio inakuwa eimeenn? Wala sina shida na hilo ila basi tuseme tumetohoa neno lingine la Kliswahili. Na wanaolitumia ni haya makanisa ya kitapeli ya zaka, sadaka na fungu la kumi!Kwa hiyo ukilivuta neno kidogo tu ndio linafanya mtu anaumia rohoni mwake ,anateseka sana kiasi cha kufungua uzi?
Hilo tu?
Labda kama kuna lingine.
Itakuwa kuna ishu nyingine labda atuambie mleta uzi.
Kwamba maisha yake hajawahi kuvuta neno hata moja ?😂😂
Kwamba wanaosema EIMEENN wanamkwaza kiasi hiko?
Kweli?
NAKATAA.
MTOA MADA SEMA UKWELI KUNA SHIDO MAHALI NA SIO "EIMEEN".
Sawa kabisa. Sijui nani aliasisi matamshi hayo.Alikuwa ananenaje? Hebu weka hapa hayo matamshi tukusaidie tafsiri. Ila "Eimeen" kwa mujibu wa mada husika, hiyo lugha sio kilatini. Neno hilo limekaa "kimtaani" zaidi. Ni colloquial or Informal word or exaggerated pronunciation of "Amen" or "Amina" ikimaanisha "Na iwe hivyo".
Hata wanadamu kwenye Biblia kuna mahali pameandikwa NINYI NI MIUNGU. Unaongelea miungu gani?Soma historia ya dini yako
kabla ya mungu kulikuwa na miungu
ukiwa na mapepo huwezi kuelewa lugha hiyo ya kiroho.Haya makanisa yanayoota kama uyoga yanayojiita ya kiroho yana vituko achilia mbali hiyo miujiza feki. Eimeen ni neno la lugha gani? Siyo neno halisi katika lugha mama za biblia.
Ni neno linalotokana na mungu wa misri ya kale aliyeitwa Amun Ra ama Amen ra. Ni jina la mungu mkuu wa misri lililochukuliwa na waebrania na baadae waislam na wakristo pia walilichukua na kuanza kulitumia.Haya makanisa yanayoota kama uyoga yanayojiita ya kiroho yana vituko achilia mbali hiyo miujiza feki. Eimeen ni neno la lugha gani? Siyo neno halisi katika lugha mama za biblia.
Sawa mkuu.Ukiivuta Amina ndio inakuwa eimeenn? Wala sina shida na hilo ila basi tuseme tumetohoa neno lingine la Kliswahili. Na wanaolitumia ni haya makanisa ya kitapeli ya zaka, sadaka na fungu la kumi!
Kwa hiyo ni lugha ya mapepo??ukiwa na mapepo huwezi kuelewa lugha hiyo ya kiroho.
wanaeleowana vizur mno watumia Aiemeeeen🐒