Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

sikia we mdada kama mpenzi wako anakunywa mwambie anywe either symnorf(vodka) au konyagi ndogo plus red bull haina haja ya kwenda kwa docta utaona shughuli yake au kuna njia natural wakati akiona anakaribia anatakiwa abane zile pumb..xx na kila akitaka kukaribia anazibana hio njia nilipewa na mpemba mmoja nikajua uongo dah kumbe kweli...then uje utwambie tena kama katumia dakika ngapi

Mkuu unazibanaje?
 
Dah! Sijui wewe ukoje, maana kuna wanawake wengine jinsi walivyoumbika kitendo cha kuvua tu tayari umeshalimwaga.
 
Hiyo inategemea na ratina ya hilo zoezi, kama mnakaa muda mrefu bila ku do lazima la 1 lije fasta, jaribu kiumpa ushirikiano alete la pili halafu uone atachukua muda gani. Iwapo litakuja fasta pia basi kuna ulazima wa kumuona dr.
 
Hafiki dakika nane? Vijana mna kazi kweli. Inamaana wakati anasokomeza we macho yako yako kwenye saa. To me dakika nane naweza mkojolesha mwanamke raundi mbili... Maandalizi na maufundi tu mama. Afu mwambie aache kupiga punyeto.

Haaahaaa! Umegunduaje anapiga Punyeto Asprin? I now know bila kuwa na shaka kwamba kuna wanaume wachache sana wanaojua nini wanatakiwa kufanya wapenzi wao waridhike.
 
kwani kuna mwanamme anaeweza zaidi ya dakika 5?
mbona kawaida wote si ni hivohivo jamani au?
wapo dada, 10+, esp bao la pili kuendelea.
la kwanza maybe less than 5.

tatzo haelezeki,ukimwambia 2jaribu hvi eti yeye hawezi ndo alivyoumbwa kumaliza mapema,IS IT TRUE??He doesnt want to put anyeffort.
Duh!
ndo kaumbwa ivo?
sepa.
 
Yaani anapiga bao moja tu kila siku kitu haisimami tena mpaka kesho yake.

duh!...tafuta articles za PC Muscles kwa wanaume, ile misuli inayoshughulika na utokaji wa ama manii(shahawa) au mkojo....
kama mwandani wako atakua yu radhi kutendea kazi hiyo misuli siku hadi siku utaona mabadiliko...
 
We demu lawama na inaonekana umemathiri kisaikolojia jaribu kumfanya akuone kwamba wewe
ni mtamu na badala ya kulaumu tengeneza mazingira awe na apetait ya kupiga goli nyingi kama
christian Ronaldona chenga na manjonjo kama Lionel Mess hapo sio unalaumu tu.
kama hiyo tiba ikishindikana tusaidiane NI PM WE ............................
 
Habari wandugu,mim nimevumilia sana tabu hii naona nakaribia kuchoka ...Tatzo ni mpenzi wangu anashindwa kuniridhisha kila 2kifanya mapenzi hata dakika 8 hazifiki tayari anafika MSHINDO, sometimes he ejaculate during romance, am fade up with this situation kwa kuwa hata siku moja sijawahi kusikia km nimeduuu'.

Nikimwambia anasema anajitahidi lakin anashndwa nikimshauri aende kwa doctor anasema hawezi kupeleka mambo km hayo hospital......nisaidieni jamani isitoshe 2nampango wa kufunga ndoa lakin mim hata hamu ya NDOA IMEISHA kwa sababu hii.

Kwanini wewe usijitayarishe nae mapema ukafikia kilele within 3 minutes. Kumbuka, kuridhishana si kuingiliana tu. 5 minutes zipo within norm, kumbuka pia ukiwa mchezaji na mbunifu unaweza ukamfanya azidishe huo muda kwa kiasi ukipendacho.

Kuridhishana hakuanzii na kuishia kwenye kutiana. Huanzia kwenye, namna ya chakula, namna ya mavazi, namna ya matembezi, namna ya maongezi, namna ya kunyegezana, namna ya kuhamasishana, namna ya kutiana, namna ya kutekenyana,

Njia moja ya kumfanya achelewe kushusha ni itapofika dakika ya nne (kama yeye ni wa dakika tano), mtekenye, ataanza tena 0 na hapo itakuwa umejiongezea dakika zingine 5, kama bado, ikifika dakika nne mtekenye tena, ni wapi utataka aishie, kazi ni kwako.

Ukitaka utaalam zaidi ni pm, hiyo ni pati gazeti tu.
 
Hivi umefanyiwa tohara/kukeketwa?Usione aibu ya aina yoyote kujibu swali hili. Kufanyiwa kitendo hiki (kukeketwa)hupunguza hisia kwa wanawake na hivyo kuchelewa sana kufika kileleni.Kama uko hivo basi unahitaji maadalizi ya hali ya juu ili kuvuta hisia kwanza kabla ya game na pindi ukianza game hutakuwa mzigo kwa mwenzio, na hakika utawahi.
 
Dont leave him lest you might get someone who would tire you for hours and hours.

Train yourselves to synchronise. This is better. Then both of you would be happy.

I wish you would come to me for training.......... !!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi umefanyiwa tohara/kukeketwa?Usione aibu ya aina yoyote kujibu swali hili. Kufanyiwa kitendo hiki (kukeketwa)hupunguza hisia kwa wanawake na hivyo kuchelewa sana kufika kileleni.Kama uko hivo basi unahitaji maadalizi ya hali ya juu ili kuvuta hisia kwanza kabla ya game na pindi ukianza game hutakuwa mzigo kwa mwenzio, na hakika utawahi.

Ebana kuna ka-ukweli hapo,mie nishakuwa na mmoja kafanyiwa tohara alikuwa ananitesa sana yaani ili afike kileleni ilikuwa inatuchukuwa mpaka nusu saa.
 
Ukienda unyagoni watakufundisha jinsi ya kumhudumia mama , usikimbie ila ngono kabla ya ndoa ni kazi ya shetani
 
Tatizo lenu vijana mnakula chips mayai alafu mnatake mtanange wa nguvu,hebu mshauri mwenzi wako ale ugali dona kwa maziwa na mbogamboga uone kazi,ikiwezekana ashibe kabisa na ka bia kamoja utakimbia chumbani
 
Back
Top Bottom