Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Pole sana binti.Lakini sasa utabadilisha wangapi,maana vijana wengi wamechakachuliwa.Hivi ndivyo NWO wanavyotaka.Ni ni njia moja wapo ya kuthibiti population growth.Kwanza afadhali huyo,wengine hawawezi kabisa.Ni tatizo kubwa sana kwa vijana sasa hivi.
Habari wandugu,mim nimevumilia sana tabu hii naona nakaribia kuchoka ...Tatzo ni mpenzi wangu anashindwa kuniridhisha kila 2kifanya mapenzi hata dakika 8 hazifiki tayari anafika MSHINDO, sometimes he ejaculate during romance, am fade up with this situation kwa kuwa hata siku moja sijawahi kusikia km nimeduuu'.

Nikimwambia anasema anajitahidi lakin anashndwa nikimshauri aende kwa doctor anasema hawezi kupeleka mambo km hayo hospital......nisaidieni jamani isitoshe 2nampango wa kufunga ndoa lakin mim hata hamu ya NDOA IMEISHA kwa sababu hii.
 
pole sana kwa tatizo hilo . matatizo hayo yapo kwa wanaume wengi, yaweza sababishwa na hofu, woga , wasiwasi wa kuhofia km leo ataweza, au anamawazo mengi wakati wa tendo hilo, chamsingi, kama anaweza ajitahidi kufanya mazoezi ya mwili, apate lishe bora, pia anaweza kuwaona wataalamu wa TIENS/TIANSHI wakampa ushauri wa lishe/vyakula na virutubisho vya kuweza kumrudishia hali ya awali ya kutokuwa na tatizo lolote. wasiliana nami km uko interested na tba mbadala kwa email: ruhazwentaki@yahoo.com,ruhazwentaki@gmail.com
 
pole sana kwa tatizo hilo . matatizo hayo yapo kwa wanaume wengi, yaweza sababishwa na hofu, woga , wasiwasi wa kuhofia km leo ataweza, au anamawazo mengi wakati wa tendo hilo, chamsingi, kama anaweza ajitahidi kufanya mazoezi ya mwili, apate lishe bora, pia anaweza kuwaona wataalamu wa TIENS/TIANSHI wakampa ushauri wa lishe/vyakula na virutubisho vya kuweza kumrudishia hali ya awali ya kutokuwa na tatizo lolote. wasiliana nami km uko interested na tba mbadala kwa email: ruhazwentaki@yahoo.com,ruhazwentaki@gmail.com. INAWEZEKANA KUONDOKEWA NA TATIZO HILO SIYO LA KUTENGANISHA NDOA YAKO TALAJIWA!!!
 
Hujasema huyo bwana ana umri gani, na wewe mwenyewe una umri gani. Jibu nikupe ufumbuzi.
 
Premature ejaculation

What is it?

Premature ejaculation is one of the most common sexual problems.
Premature ejaculation (PE) means coming too quickly, and it's one of the most common sexual problems.
In our survey of several thousand British males, approximately 10 per cent of them said that they often or sometimes had this trouble.
We found that it's commoner in younger men – which is not surprising, as there's a distinct tendency for it to improve with age. Men generally get better control as they grow older.
However, a 2004 survey in Europe showed that many middle-aged men still have this problem. Fortunately, good treatments are available.
In 2010/11, a new treatment became available in Britain and several other countries – details below.

Definitions
It’s almost impossible to get an accurate definition of premature ejaculation: what some couples consider a satisfactory length of intercourse would be very inadequate for others.
At the 2006 Congress of the European Society for Sexual Medicine, an American research paper reported:
the average lasting time of men with PE was 1.8 minutes
'normal' men lasted an average of 7.3 minutes.
But there were males who claimed to have premature ejaculation, yet who could last up to 25 minutes. This clearly shows people have wildly differing ideas about what is normal!
At the same Congress, Professor Waldinger reported that 2.5 per cent of men couldn't last 90 seconds inside the vagina. Those males undoubtedly have PE.
From our own clinical experience, there are plenty of couples who would regard intercourse that lasts under 20 minutes as less than satisfactory, and would feel that any ejaculation in under 10 minutes or so is decidedly premature.
As a working definition, if either you or your partner feels that orgasm is happening too soon, there probably is some degree of PE.
Does it matter?
In most cases premature ejaculation does matter, because it makes people unhappy and frustrated. And in severe cases PE can threaten or even ruin a marriage – simply because it spoils the sex lives of both partners.
Sometimes, the condition is so bad the man can't have sex because he ejaculates before he can get into the vagina. This can be devastating for a man's self-confidence. And it can be hugely frustrating and annoying for his partner – especially if she wants to get pregnant.
However, most men merely find PE a considerable irritation. It's a condition that makes them come very soon after they enter their partner – say, after only a minute or two, so neither party gets a lot of satisfaction.
What causes it?
For many years, sex experts have tended to say that premature ejaculation is caused by early conditioning.
In other words, the man's early, rushed (and perhaps furtive) sexual experiences had to be quick so as to avoid detection. The idea is that this conditions him to climax as quickly as possible.
However, our own surveys have found that many men with PE did not have rushed early sexual experiences – though others say they did.
It's worth noting that from an evolutionary point of view, it's probable that males who climaxed quickly were more likely to have children. In other words, if you were a caveman who came very fast, you'd stand more chance of impregnating your woman and enlarging your tribe.
Some men seem to be highly triggered right from the start of their sex lives, and we have encountered instances where their fathers were much the same. Therefore, we feel that the tendency to reach orgasm quickly may possibly be inherited rather than learned.
Finally, there's no question that anxiety or 'nerves' play a part in many cases of PE. If you're nervous, you're likely to come too quickly.
This is why many males have discovered for themselves that a small amount of alcohol eases their nerves and makes them less likely to climax prematurely. But we wouldn't recommend alcohol as a treatment.
So, what can be done for PE?
Treatment for mild cases
If you have mild PE – for instance, you can last five minutes but would like to last 10 – there's probably no point in going to a doctor.
Why? Because you should be able to improve matters by simple distraction techniques.
This means turning your mind to something else when you sense that climax is near. For example, you can think about something totally unconcerned with sex or pinch yourself.
Local anaesthetic gel
Some men try to treat themselves with a local anaesthetic gel that's applied to the shaft of the penis shortly before intercourse.
This product is advertised to the public as a good way to 'damp down' sexual sensation in the penis.
We do not advise using this gel because the local anaesthetic can 'dull' the sex sensation for your partner.
It can also cause a distressing skin reaction in either partner, with intense itching, redness and soreness.
'Long love' condoms
German scientists have come up with a slightly different approach that won't cause vaginal irritation.
It's called the 'long love condom’ and it contains a local anaesthetic (benzocaine or lidocaine) inside it.
Long love condoms are now being sold in many countries, under a variety of brand names.
A few male patients have told us they do last longer with these condoms, but the man is still at risk of a sensitivity reaction to the local anaesthetic.
 
Ebana kuna ka-ukweli hapo,mie nishakuwa na mmoja kafanyiwa tohara alikuwa ananitesa sana yaani ili afike kileleni ilikuwa inatuchukuwa mpaka nusu saa.

Nusu saa! Hii kali.
 
Habari wandugu,mim nimevumilia sana tabu hii naona nakaribia kuchoka ...Tatzo ni mpenzi wangu anashindwa kuniridhisha kila 2kifanya mapenzi hata dakika 8 hazifiki tayari anafika MSHINDO, sometimes he ejaculate during romance, am fade up with this situation kwa kuwa hata siku moja sijawahi kusikia km nimeduuu'.

Nikimwambia anasema anajitahidi lakin anashndwa nikimshauri aende kwa doctor anasema hawezi kupeleka mambo km hayo hospital......nisaidieni jamani isitoshe 2nampango wa kufunga ndoa lakin mim hata hamu ya NDOA IMEISHA kwa sababu hii.

Mbona hizo dk 5 au 8 ni kitu cha kawaida dada! Labda kama anaishia kamoja tu basi hiyo ni issue. Mmh, yaelekea pale ulipowahi kufikishwa zamani huyu jamaa wa sasa hafiki, pole.Tafuteni wataalamu wa mambo haya awasaidie kabla ya things fall apart.
 
Umeshawahi kujaribu na wengine kuona kama wanafikisha hizo dk8?
Ukimpata anayezidi jichukulie huyo huyo, huo ugonjwa hauna dawa.
ushauri wako ni mbaya wala sio wa kufuata. ndugu mtu akija na hoja kama huwezi changia potezea.
inawezekana jamaa ana psychological problem,kwamba ilimtokea mara moja ila yeye ameliweka sana akilini mwake. mi nadhani ajaribu kati moja ya solution zifuatazo;
1. Inawezekana jamaa ana upungufu wa calcium mwilini so hiyo weakness ni moja ya nyingi alizo nazo. solution mojawapo aongeze consuption ya vyakula vya calcium kama dagaa,samaki especilly pweza kwa wingi na supu yake vile vile anywe kwa wingi sana juice ya UBUYU japo kwa wiki nane mfululizo katika diet yake yani afanye combination ya hiyo diet yote niliyo highlight hapo juu
2. yawezekana maandalizi yenu yanakuwa duni yani kidogo tu mjusi goromondo yupo shimoni,chukueni muda kama angalau nusu saa kuandaana kwa romance za ukweli kuchezeana pia nawe ujichunguze wakati huo wa maandalizi ni wapi anapokugusa wakati wa maandalizi unakuwa excited then muende pamoja.
3. angalia mazingira ambayo mnafanya mambo hayo yani physical and psychological environment kama vile shibe ya mlo bora,state of mind to both of you na mazingira.
nadhani wengine watakuja na mengine mengi zaidi ambayo ni constructive
 
Habari wandugu,mim nimevumilia sana tabu hii naona nakaribia kuchoka ...Tatzo ni mpenzi wangu anashindwa kuniridhisha kila 2kifanya mapenzi hata dakika 8 hazifiki tayari anafika MSHINDO, sometimes he ejaculate during romance, am fade up with this situation kwa kuwa hata siku moja sijawahi kusikia km nimeduuu'.

Nikimwambia anasema anajitahidi lakin anashndwa nikimshauri aende kwa doctor anasema hawezi kupeleka mambo km hayo hospital......nisaidieni jamani isitoshe 2nampango wa kufunga ndoa lakin mim hata hamu ya NDOA IMEISHA kwa sababu hii.

Tatizo ninyi watoto wa leo hamfundwi mnajifunza mapenzi kwa pornograph, wewe unaweza kua tiba kamili katika tatizo hilo na likaisha kabisa.
Kumwacha si suluhisho, kwanza unauhakika gani utakaye mpata hatakua na tatizo? Kwanza kwa hali ya leo unabahati kupata mtu anayetaka kukuoa.
Tafuta wajuzi wakushauri wewe na utakua msaada mkubwa.
 
Haitatosha kwakua nitatizo lakisaikolojia nivema ajifunze kumsaidia.


Umeniboa kweli; tunashida nchi inajiendea kama boya alafu wewe unaleta za kukojolewa? kwa tarifa yako mimi napiga goli 3 ndani ya dk 8, swali! usiku kucha ni magoli mangapi? hesabu ya ngumbaru. Nitafute nikuambie siri ya kushinda hili jaribu, ebo! nimechukia weee ungejua-kama walivyomng'oa Lema kijanja.
 
Sometimes tatizo sio kuwahi kupiga bao, unaweza piga bao na bado mtalimbo uko imara kufanya mambo. All u need ni utulivu tu na self control mkuu
 
Nani kakudanganya? Zile Blue print X. Wanaedit ndo itaona jamaa kachukua saa nzima bila kukojoa
Ww ukutane na mashine ya kibantu imewekewa shabu hailowi ukipump haiingii ni kichwa tu humalizi dk 2 unashusha mzigo njiani
 
kwann umuache? nani kwakwambia kwamba ni tatizo? kukubwa mkae mtafute vitu vitakavyowasaidia kutatua tatizo.
 
Hivi uume ungekuwa penseli, wako ungekuwaje?Au ndio ungekuwa umebaki sehemu ya kifuto 2?
 
Nani kakudanganya? Zile Blue print X. Wanaedit ndo itaona jamaa kachukua saa nzima bila kukojoa
Ww ukutane na mashine ya kibantu imewekewa shabu hailowi ukipump haiingii ni kichwa tu humalizi dk 2 unashusha mzigo njiani

kumbe eeh?
 
Back
Top Bottom