Habari wandugu,mim nimevumilia sana tabu hii naona nakaribia kuchoka ...Tatzo ni mpenzi wangu anashindwa kuniridhisha kila 2kifanya mapenzi hata dakika 8 hazifiki tayari anafika MSHINDO, sometimes he ejaculate during romance, am fade up with this situation kwa kuwa hata siku moja sijawahi kusikia km nimeduuu'.
Nikimwambia anasema anajitahidi lakin anashndwa nikimshauri aende kwa doctor anasema hawezi kupeleka mambo km hayo hospital......nisaidieni jamani isitoshe 2nampango wa kufunga ndoa lakin mim hata hamu ya NDOA IMEISHA kwa sababu hii.
tyari mmesha oana. na kama mkiachana mtakuwa wazinzi. shahidi wa ndo yenu ni MUNGU, na wengine ni sisi member wa JF. Ndoa ni tendo la ndoa, kama limeshafanyika, usitegee ndoa nyingine, ulichobakiza ni kutambulishana kwa wazazi wenu tu basi.
halafu, umefanya naye mara ngapi? na baada ya kufika kileleni, mkirudia tena kwa wakati huo, mda unapungua au unaongezeka?
Mwanamme kama ni mgeni kwenye mapenzi hali hiyo ni kawaida kwake, kwani anakuwa na hisia zilizozama. na inatokea hivyo kwa kuwa amekukubali, anakupenda kwa moyo wote.
Unachotakiwa kukifanya, siyo kumwacha na kutafuta kuzini na mwingine, mpe uloda wako kwa mda mrefu. kwa mfano, kama mnafanya kazi, mnaweza kuomba rikizo fupi, halafu mpatane mwende mkoa wa jirani, muamue kukaa kama mke na mke ndani ya hotel, kwa hiyo kila akipandisha unampa, nakwambia akifanya mfululizo kwa siku tatu, siku ya nne akifanya lazima atachelewa.
anawahi kwa kuwa huwa anakupata kipenzi chake cha moyo kwa nadra sana, thus anakuwa na hamu sana na wewe