Habari wandugu,mim nimevumilia sana tabu hii naona nakaribia kuchoka ...Tatzo ni mpenzi wangu anashindwa kuniridhisha kila 2kifanya mapenzi hata dakika 8 hazifiki tayari anafika MSHINDO, sometimes he ejaculate during romance, am fade up with this situation kwa kuwa hata siku moja sijawahi kusikia km nimeduuu'.
Nikimwambia anasema anajitahidi lakin anashndwa nikimshauri aende kwa doctor anasema hawezi kupeleka mambo km hayo hospital......nisaidieni jamani isitoshe 2nampango wa kufunga ndoa lakin mim hata hamu ya NDOA IMEISHA kwa sababu hii.
Kwanini wewe usijitayarishe nae mapema ukafikia kilele within 3 minutes. Kumbuka, kuridhishana si kuingiliana tu. 5 minutes zipo within norm, kumbuka pia ukiwa mchezaji na mbunifu unaweza ukamfanya azidishe huo muda kwa kiasi ukipendacho.
Kuridhishana hakuanzii na kuishia kwenye kutiana. Huanzia kwenye, namna ya chakula, namna ya mavazi, namna ya matembezi, namna ya maongezi, namna ya kunyegezana, namna ya kuhamasishana, namna ya kutiana, namna ya kutekenyana,
Njia moja ya kumfanya achelewe kushusha ni itapofika dakika ya nne (kama yeye ni wa dakika tano), mtekenye, ataanza tena 0 na hapo itakuwa umejiongezea dakika zingine 5, kama bado, ikifika dakika nne mtekenye tena, ni wapi utataka aishie, kazi ni kwako.
Ukitaka utaalam zaidi ni pm, hiyo ni pati gazeti tu.