Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

kula vyakula ambazo vina increase sperm level,like korosho..pia punguza vyakula vya mafuta..one of the couse is punyeto.
 
jaman nn tiba ya kuwah kufka kilelen? Je kuna tiba ya hospital? Naomben majb yalio ya ukweli na c mzaha
 
Punguza papara, fanya maandalizi ya kutosha, kula balanced diet hususan natural foods, acha sigara/pombe. Ukiweza kunywa asali na mdalasini itakusaidia ndugu yangu. Hili ni tatizo la kisaikolojia zaidi...
 
Jaman habari zenu wana Jf membes!
Siku chache zilizopita nilisoma kwamba kitungu saumu na asali ni tibu ya kuwahi kufika kileleni,dozi hii ikoje??halafu nikasoma kuhusu mazoezi ya yoga(siyafaham) na ya pc mascules,tafadhali ndugu zangu hili tatizo ni kubwa kwa wengi,naombeni maelekezo kwa kina,mbarikiwe sana!
 
Kwa ushauri tu: Sidhani kama utashauriwa vizuri humu kwenye jf kwa maana tatizo hili ni la kitaalamu zaidi. Mi nadhani ni vizuri ukawaona wataalamu.

Pili, sijui kilele unachoongelea ni ipi. Maana kuna wewe binafsi kufika kwenye kilele "orgasm" au kumfikisha mwenzako kwenye kilele "orgasm" au wote wawili kufikishana kileleni "orgasm". Unaweza kuwa na hayo mambo yote matatu kwa wakati moja au mojawapo ya hayo matatu. Kwa ufahamu wangu naishia hapo.

Unapokuwa na mtaalamu utamwelezea kwa undani na yeye atapata muda mzuri wa kukushauri. Tatizo kama hili linasababishwa na mambo mengi sana. Na ni tatizo la wanaume wengi sana. Hakuna idadi. Wanawake ndio wanaojua idadi ya wanaume wa namna hii. Hawataki kusema kwa sababu ni tatizo lake pia. Wanajua kuwa si vizuri kuliongelea nje ya ndoa.

Matatizo ya wanawake wenye tatizo kama hili ni rahisi kulimaliza maana anayelimaliza ni mwanamme; sasa nani wakulimaliza likiwa kwa mwanaume? Mwanamke ndiye anayepokea na mtoaji ni mwanaume. Fikiri kidogo. Usipokuwa sawa sawa kamwe huwezi kumfika. HAta wale vijana waliowekwa vijibaba na baadhi ya w/ke wenye pesa zao; na wao huukimbia mtego huu kwa maana ni kazi kumfika m/ke kila anapohitaji.
 
Kumbuka fantasy yako! Itumie!
Imagine kama unashindana na huyo mwenzio, mdharau kimoyo moyo, kuwa hawezi kukushinda waweza muita **** kimoyo moyo au tusi lolote, jiambie that u want to enjoy n nothing else, be selfish for a while, amini usiamini itawork na mwenzio ataenjoy tu!
 
Premature Ejaculation😀efinition. Premature ejaculation occurs when a man orgasms during intercourse sooner than he or his partner wishes:
Causes, incidence, and risk factors[/h]Premature ejaculation is a common complaint. It is only rarely caused by a physical or structural problem.
Premature ejaculation early in a relationship is most often caused by anxiety and overstimulation. Other psychological factors such as guilt may also be relevant. The condition usually improves without formal treatment.
Symptoms. Ejaculation happens before the individual or couple would like (prematurely). This may range from before penetration to a point just after penetration, and may leave the couple feeling unsatisfied.
Signs and tests. Abnormal findings are unlikely to be associated with the condition. Useful information is more likely to be obtained from interviewing the person or the couple.
Treatment. In general, practice and relaxation will help you deal with the problem. Some men try to distract themselves by thinking non-sexual thoughts (such as naming baseball players and records) to avoid becoming excited too fast.
Some helpful techniques include the following:
The "stop and start" method:
  • This technique involves sexual stimulation until the man recognizes that he is about to ejaculate. The stimulation is then removed for about thirty seconds and then may be resumed. The sequence is repeated until ejaculation is desired, the final time allowing the stimulation to continue until ejaculation occurs.
The "squeeze" method:
  • This technique involves sexual stimulation until the man recognizes that he is about to ejaculate. At that point, the man or his partner gently squeezes the end of the penis (where the glans meets the shaft) for several seconds, withholding further sexual stimulation for about 30 seconds, and then resuming stimulation. The sequence may be repeated by the person or couple until ejaculation is desired, the final time allowing the stimulation to continue until ejaculation occurs.
Antidepressants such as Prozac and other selective serotonin reuptake inhibitors (SSRIs) may be helpful because they have a common side effect of prolonging the time it takes to achieve ejaculation.
Local anesthetic creams may be applied to the penis to decrease stimulation. Decreased feeling in the penis may prolong the time before ejaculation. Condom use may also have this effect for some men.
Evaluation by a sex therapist, psychologist, or psychiatrist may be helpful for some couples.
Expectations (prognosis).In most cases, the man is able to learn ejaculatory control through education and practice of the simple techniques outlined. Chronic premature ejaculation may be a sign of anxiety or depression, both of which could be helped by psychiatric intervention.
Complications
  • Very early ejaculation, occurring prior to entry into the vagina, may prohibit a desired pregnancy.
  • A continued lack of ejaculatory control may lead to sexual dissatisfaction on the part of either or both partners and may be a factor in sexual tension or discord in the relationship.
Calling your health care provider.Call for an appointment with your health care provider if premature ejaculation is causing a problem and does not respond to techniques such as those described above.
Prevention.There is no prevention for this disorder, though relaxation can reduce the likelihood of its occurrence.
 
Usiweke mawazo yako sana kwenye tendo mpaka mwenzako naye akaribie!
 
Niliwahi kuwa na tatizo hili kwa kipindi kirefu sana, lkn baada ya kuhangaika sana kutafuta tiba yake nikaja kuambiwa tiba yake ni mazoezi tu kwa sana, na kweli naweza kusema 100% yalinisaidia kuchelewa kufika kileleni.
Ila nikiacha mazoezi kwa muda nikikutana na unyago hali inarudi kuwa ya mwanzo,kwa hiyo nimekuwa mtu wa mazoezi karibu muda mwingi kulinda uwezo wangu, na kuna muda nikiwa sawa sawa hasa kimazoezi mchuchu anaweza kudhani namkomoa maana wageni huwa hawaji nabadili mitindo tu. Mkuu mimi yalinisaidia mazoezi na ndiyo nguzo yangu kuu mpaka sasa kuchelewa kufika kileleni,vinginevyo bint alikuwa ananikimbia maana alishaanza kusema hawezi kuivumilia hali hiyo.
Lakini sasa hivi mimi ndio kidume maana mchuchu wangu keshafikia kusema; "kuna muda nasikia hamu na wewe lkn huwa najiuliza kukupa unyago maana ukikaa hapo juu hubanduki", mkuu, sijala pili pili mtama wala iliki wala kitunguu swaumu wala nyanya chungu,ni mazoezi tu.
Na ilinichukua kama wiki 3 au mwezi hivi wa mazoezi kupata matokeo hayo,ila nilikuwa nafanya mazoezi sio masihara.
Sasa sijui kwako wewe,maana binaadam tumeumbwa tofauti tofauti,lkn kwangu ndio tiba yangu mpaka nnavyoandika ujumbe huu.
 
mazoezi yako ya namna gani?
yamwage hapa
 
Punguza papara, fanya maandalizi ya kutosha, kula balanced diet hususan natural foods, acha sigara/pombe. Ukiweza kunywa asali na mdalasini itakusaidia ndugu yangu. Hili ni tatizo la kisaikolojia zaidi...
Mkunga,

Kama ni "tatizo la kisaikolojia zaidi" mbona unamwambia ale mi asali na mi dalasini?

Na hizo asali na midalasini na vyakula vya asili, whatever the heck that is, vinafanya nini ki-ukunga, kuchelewesha ejaculation? Vina vimeng'enyo gani na vinafanyaje kazi kwenye ejaculation mechanism?
 
Mazoezi yangu ni ya namna gani?
Mkuu ni haya haya wanayofanya wengine,ila bahati nipo ughaibuni gym kila kona na vifaa vyote vya mazoezi vipo kama unavyojua,nilichofanya nilitafuta gym ya mbali na makazi yangu (ingawa ya karibu na makazi ipo) kutoka kwangu kuifata gym ilikuwa kama km.10 au 11 hivi, nilikuwa natumia baiskeli kwenda kwenye hiyo gym.
Nikifika gym nilikuwa nakimbia kwenye running machine km. 10 au 12 kwa nusu saa,nikimaliza napumua kdg (kumbuka nilianza taratibu mpaka kuja kufikia hatua hiyo) halafu naenda kwenye bench press,napiga mizunguko 5,kila mzunguko nanyanyua mara 10. na nilianza na kilo 40 ss hivi 80. na kwenye hii bench press na mazoezi mengine kuna siku nilikuwa nafanya zaidi kama mwili upo sawa sawa (sijachoka na kazi).
Nikimaliza nakwenda kwenye mashine ya msuli wa kutengeneza paja,nayo round zake inakuwa kama ya bench press, nikimaliza napiga 21 mazoezi ya kutengeneza nguvu za mikono, mazoezi haya yana sehemu tatu tofauti jumla ya yote mazoezi ya mkono unapiga kama 105 hivi.
Nikimaliza napiga ya kutengeneza mabega,hii nayo round zake kama bench press, baada ya hapo nafanya mazoezi ya misuli ya tumbo (mara nyingi hili ndio huwa zoezi la mwisho),kama pumzi bado nnayo ya kutosha huwa napiga push-up 150 kama nimechoka napiga kulingana na uwezo wa mwili baada ya hapo nafanya stretching napumua kdg,naenda kujimwagia maji nachukua baiskeli kurudi nyumbani.
Lakini naamini kukimbia ndio kulinisaidia(na bado inanisaidia) sana kuweza kuumudu unyago ingawa mengine yalichangia,na kwa wiki nilikuwa naenda gym mara 4 ikiwa pungufu mara 3 mpaka kufikia hali hiyo.
Zaidi ya kuumudu unyago,nimekuwa mwepesi sio kawaida na body yangu kwa sasa nashukuru sio mwili yenze yenze (kizembe zembe).
Jambo la kupendeza zaidi ni mm ni mtu wa martial arts kwa kama miaka 7 iliopita kwa hiyo mazoezi haya yananifanya kuwa mwepesi zaidi nikiwa dojo,ingawa sensei wetu (mwalimu wa martial arts) ni mtu mzima kwa hiyo anatufanyisha mazoezi sio kivile,lkn ya kwangu binafsi yamenifanya niongeze kitu fulani.
Haya ndio mazoezi yangu mkuu ulieuliza na ndio dawa ambayo naiamini kwa 100% imenifanya niumudu unyago,kwanini naamini hivyo? nikiacha kbs kufanya mazoezi perfomance inakuwa mbovu,lkn nikiwa sawa sawa bint anajiuliza kunipa unyago.
Sasa sijui kwa mdau alietaka msaada na wengine maana kama nilivyosema mwanzo,binaadam tumeumbwa tofauti.
 
ratiba ya mazoezi na sex iko vipi hapo????????
 
Ten tips on how to eliminate premature ejaculations are given below. The easiest (and cheapest) things first ..
  1. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]The stop and start technique[/FONT]
  2. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]The breathing technique[/FONT]
  3. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]The squeeze technique[/FONT]
  4. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Wear a condom[/FONT]
  5. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Masturbate first[/FONT]
  6. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Different sexual positions[/FONT]
  7. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Desensitizing cream[/FONT]
  8. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Pelvic muscle exercise[/FONT]
  9. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Herbal treatments[/FONT]
  10. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Testicular restraint and penis ring[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Let's discuss these tips in more details...[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Stop and start technique[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]This technique simply means to bring yourself to (near) the point of no return, and stopping all stimulation before it's too late. For some men, this includes removal of the penis from the vagina, although for others this may not be necessary.

After the urgent feeling to ejaculate subsides, usually after 30 seconds, then thrusting and intercourse can be resumed. This stop and start technique can be repeated several times.

Communication is the key here, guys. Let your partner know that you are getting close to orgasm and to slow down or temporarily stop.

In addition to intercourse, the stop and start technique can also be practiced with your hand, with or without lubricant.
[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Remember to breathe... [/FONT][FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Believe it or not, breathing deeply and relaxing your body during intercourse can help! This works best for premature ejaculation that is caused by anxiety or tension.

Because of its relaxing effect, some men report that drinking one (just one ,guys) glass of red wine before lovemaking can help.

For others, distracting oneself by thinking about other things like the office or football can also help to prevent premature ejaculation. Just remember not to think out loud!

The squeeze technique
This technique involves gently squeezing the base or end of the penile shaft and stopping sexual stimulation until the urge to ejaculate passes. The squeezing can be done by either the man or his partner, and can be repeated until ejaculation is desired.

Wear a condom
One of the most overlooked simple cures of premature ejaculation is to wear a condom. Besides being a good practice against sexually transmitted diseases and as a contraceptive, a condom can help reduce the sensation and thus prolong sex.

Masturbate first
Masturbating first a couple of hours before making love can result in the increased ability to last longer. Unfortunately, this often reduces the man's desire for sex.

Different sexual positions
Some men reach orgasm and ejaculate faster in the traditional missionary position (man on top). These men may last longer when their partner is on top. Remember, however, that sexual position preference varies very widely.

Changing positions every so often can also help, perhaps by giving the man brief pauses during lovemaking every now and then.

Desensitizing cream
Desensitizing cream works by lessening the sensation felt by men during intercourse. Although it lengthens staying power for many men, it comes with a price: most of these men said that the cream also makes sex less pleasurable.

Be sure to tell your partner that you are using desensitizing cream. Unfortunately, the dulling effect can also be transferred and felt by the woman, making it longer for her to reach orgasm (which may be one of the reasons a man feels he's not lasting long enough in the first place!).

Pelvic muscle exercise
Would you believe that an exercise usually reserved for incontinent women can help a man prevent premature ejaculation?

In a woman, pregnancy and childbirth are the main cause of the weakening of the pelvic floor muscle. This usually leads to female incontinence. The good news is that a simple pelvic muscle exercise (also called Kegel exercise) can help.

The same pelvic muscle is also involved in the ejaculation process (if you must know, the contraction of the pelvic muscle forces the seminal or ejaculate fluid from the prostate gland). This means that for a man, the same pelvic muscle exercise can help gain control over his premature ejaculation.

The pelvic muscle exercise is simple: "flex" the pelvic muscle as if you are holding back from or stopping urination. Hold the muscle for about three to five seconds, relax for about three seconds, and repeat. With practice, you should be able to work your way up to hold your pelvic muscle for ten seconds and do as many as one hundred contractions per day.

Remember, you can do this discreet exercise at almost anytime and in any place.

Herbal treatment
There are many herbs for men's sexual health available in the market today. Some of these, such as yohimbe and maca extracts, are basically stimulants and may have unwanted side effects, especially for older men.

A very promising herb is purified Tribulus terrestris extract, available under the brand name Libilov. Taken regularly, Tribulus has been proven by many scientific medical studies to help men overcome premature ejaculation without side effects. Moreover, the herb helps boost sex drive, increases stamina and control, and even improves sensation. Visit Libilov
[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] for Men[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] for more information.

Testicular restraint
Gently restraining the testicles from moving during intercourse can help some men from ejaculating prematurely. Although some found it uncomfortable or too much hassle, testicular restraint is generally safe. It can be purchased discreetly through erotic mail-order companies.

Taking cues from the squeeze technique and a vacuum device for impotence, an erotic device called a penis ring or band works to prevent premature ejaculation in some (adventurous) men. Here, a stretchy rubber ring on the base of the penis does the squeezing. Some men, however, feel slight discomfort during intercourse when wearing this ring.
Premature ejaculation can be treated
The tips above have been reported to help about 95% of men to prolong their lovemaking. Remember to be sure to contact your health provider if you feel that you have a severe premature ejaculation problem.
[/FONT]
 
Mi nadhani ni bora ubaki hivyohvyo na hyo hali.Itakuepusha na mengi hasa hili la HIV..,bro muda ukifika hiyo kitu itaisha yeyewe niamini mimi.
Hakuna mtu aliye ndani ya ndoa anasumbuliwa na PE..,Waliojidai marijali tumewazika tayari na wengine walikuwa kwa babu wamepanga foleni.
Amini mola ameamua kukulinda kwa njia hyo.
By the way PE ina dhihirisha kuwa we ni mzima isipokuwa huna experience basi oa mtafundishana na mwenzako chumbani.
 
this is simple with no side effect therefore itakuwa kitu ya kwanza kupractice japo nyingine nazo ntachanganya
 
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Eight tips on how to eliminate premature ejaculations are given below. The easiest (and cheapest) things first ..[/FONT]
  1. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]The stop and start technique[/FONT]
  2. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]The breathing technique[/FONT]
  3. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]The squeeze technique[/FONT]
  4. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Wear a condom[/FONT]
  5. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Masturbate first[/FONT]
  6. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Different sexual positions[/FONT]
  7. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Desensitizing cream[/FONT]
  8. [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Pelvic muscle exercise[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Let's discuss these tips in more details...[/FONT]
Stop and start technique[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]
This technique simply means to bring yourself to (near) the point of no return, and stopping all stimulation before it's too late. For some men, this includes removal of the penis from the vagina, although for others this may not be necessary.

After the urgent feeling to ejaculate subsides, usually after 30 seconds, then thrusting and intercourse can be resumed. This stop and start technique can be repeated several times.

Communication is the key here, guys. Let your partner know that you are getting close to orgasm and to slow down or temporarily stop.

In addition to intercourse, the stop and start technique can also be practiced with your hand, with or without lubricant.
[/FONT]

Remember to breathe... [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Believe it or not, breathing deeply and relaxing your body during intercourse can help! This works best for premature ejaculation that is caused by anxiety or tension.

Because of its relaxing effect, some men report that drinking one (just one ,guys) glass of red wine before lovemaking can help.

For others, distracting oneself by thinking about other things like the office or football can also help to prevent premature ejaculation. Just remember not to think out loud!

The squeeze techniqueThis technique involves gently squeezing the base or end of the penile shaft and stopping sexual stimulation until the urge to ejaculate passes. The squeezing can be done by either the man or his partner, and can be repeated until ejaculation is desired.

Wear a condom
One of the most overlooked simple cures of premature ejaculation is to wear a condom. Besides being a good practice against sexually transmitted diseases and as a contraceptive, a condom can help reduce the sensation and thus prolong sex.

Masturbate firstMasturbating first a couple of hours before making love can result in the increased ability to last longer. Unfortunately, this often reduces the man's desire for sex.

Back
Top Bottom