Dalali_wa_kimataifa
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 182
- 176
6bn zinatosha kununua kiwanda tayari kinazalisha bidhaa.ENEO LA UKUBWA WA SQM 120,000 SAWA NA EKARI 30 LINAUZWA
LIPO BOKO-DAR ES SALAAM.
ENEO LIMEZUNGUKWA NA BARABARA YA LAMI.
ENEO LINA FENCE.
HATI SAFI YA WIZARA.
BEI BILIONI 6.
[emoji1241]Call/WhatsApp +255758844717View attachment 3309074
Hapo ni pa mashirika au mabilionea kujenga kiwanda, hotels, apartments, etc. NHC wawekeze hapo.Kama ukubwa wa eka 30 ni kweli mtu akiuza upya atapata faida
Mkuu labda uwe fala tu ukiwa na 6bn shilling kwenye account ready to invest neenda Tanzania investment authority uambia nataka aridhi ya kuwekeza utsapewa tu ya bure tena kwa kubembelexwa na serikali, 6bn ni pesa ndefu ni bajeti za wilaya nzima.Hapo ni pa mashirika au mabilionea kujenga kiwanda, hotels, apartments, etc. NHC wawekeze hapo.
Ila kwa location hiyo sidhani kama TIC wana ardhi. Kinachouza eneo ni location.Mkuu labda uwe fala tu ukiwa na 6bn shilling kwenye account ready to invest neenda Tanzania investment authority uambia nataka aridhi ya kuwekeza utsapewa tu ya bure tena kwa kubembelexwa na serikali, 6bn ni pesa ndefu ni bajeti za wilaya nzima.
Mbona bei ipo chini sana.ENEO LA UKUBWA WA SQM 120,000 SAWA NA EKARI 30 LINAUZWA
LIPO BOKO-DAR ES SALAAM.
ENEO LIMEZUNGUKWA NA BARABARA YA LAMI.
ENEO LINA FENCE.
HATI SAFI YA WIZARA.
BEI BILIONI 6.
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717View attachment 3309074
Utalima matikiti maji.B 6 huko porini ukinunua kwa mfano kipi kinalipa
Location hizo ni kibao sana hiyo barabara ya bagamoyo, sometime wana kununulia hiyo aridhi kupita mamlaka ya wilaya husika, tatizo la Tanzania ni mtaji capital sio aridhi, we tafuta only 2bn shilling ready to invest uone utakapo tafutiwa ardhi kwa speed.Ila kwa location hiyo sidhani kama TIC wana ardhi. Kinachouza eneo ni location.
Ukiweka Bil 6 kwenye fixed account inatosha kuishi maisha yako yote na familia yakoBEI BILIONI 6.
Just 1bn shilling kwenye fixed account ya 10% unapewa 100m kwa mwaka kila mwezi 8m hiyo pesa haitoshi kweli? 6bn ni pesa ndefu sanaaa sio ya kununa aridhi boko.Ukiweka Bil 6 kwenye fixed account inatosha kuishi maisha yako yote na familia yako
Kinunue banamtafute yule mwekezaji mpya wa simba ajenge hapo kiwanja..
Bora niwekeze kwenye ardhi nichukue rent, kuliko kuwapa wezi waizungushie wapate faida kubwa kwa kukopesha.Ukiweka Bil 6 kwenye fixed account inatosha kuishi maisha yako yote na familia yako