Plot4Sale Ekari 30 zimegusa barabara ya lami, Boko Dar. Bei billion 6

Plot4Sale Ekari 30 zimegusa barabara ya lami, Boko Dar. Bei billion 6

Just 1bn shilling kwenye fixed account ya 10% unapewa 100m kwa mwaka kila mwezi 8m hiyo pesa haitoshi kweli? 6bn ni pesa ndefu sanaaa sio ya kununa aridhi boko.

Just 1bn shilling kwenye fixed account ya 10% unapewa 100m kwa mwaka kila mwezi 8m hiyo pesa haitoshi kweli? 6bn ni pesa ndefu sanaaa sio ya kununa aridhi boko.
Fixed account ni biashara za wazee na wastaafu wanaosubiria kufa.
B kwa 100m tena per year
 
Eneo kubwa zuri,na Location ni nzuri kabisa.Lakini kaka Dalali 6 blns? Kwamba hekari 1@200,000,000?
 
Mkuu labda uwe fala tu ukiwa na 6bn shilling kwenye account ready to invest neenda Tanzania investment authority uambia nataka aridhi ya kuwekeza utsapewa tu ya bure tena kwa kubembelexwa na serikali, 6bn ni pesa ndefu ni bajeti za wilaya nzima.
wilaya gani hio ina bajeti ya bilioni 6?
 
Just 1bn shilling kwenye fixed account ya 10% unapewa 100m kwa mwaka kila mwezi 8m hiyo pesa haitoshi kweli? 6bn ni pesa ndefu sanaaa sio ya kununa aridhi boko.
Inategemea matumizi yako mkuu

If you can have 1bn to spare, jua kwbisa your lines zinachomw zaidi yq 200m a year as normal expenditure
 
Inategemea matumizi yako mkuu

If you can have 1bn to spare, jua kwbisa your lines zinachomw zaidi yq 200m a year as normal expenditure
Mkuu domestic expenditure katika family level ya 200m kwa mwaka kwenye familia zetu hapa Tanzania huenda hazipo kabisa hata kama kila mwenzi unaenda holiday hiyo 200m ni pesa ndefu sanaa.
 
Mkuu domestic expenditure katika family level ya 200m kwa mwaka kwenye familia zetu hapa Tanzania huenda hazipo kabisa hata kama kila mwenzi unaenda holiday hiyo 200m ni pesa ndefu sanaa.
Ukijumlisha na race nyeupe wapo lakini kwa tz nzima hawazidi 20 wengi ni below
 
Bei za mataahira
Mpaka mkurugenzi kacheka c mchezo...
Screenshot_20250419_124545.jpg
 
Bora niwekeze kwenye ardhi nichukue rent, kuliko kuwapa wezi waizungushie wapate faida kubwa kwa kukopesha.
Fixed account kama labda we ni muoga wa risks.
Zipo business unavuna zaid ya hio per mwaka.
Mfano Hapo unajenga mji wenye makazi,masoko, maduka,stand, viwanja vya michezo,kumbi za starehe,shule,vyuo, makaburi na shughuli zote za wanadamu unakuwa na mfumo mzuri wa kukusanya kodi tu.Life is easy
S.M.A.R.T 🤝
 
Sasa kugusa lami ndo nn mzee hata masaki hakuna nyumba ya 6bn
Pole sana,endelea kuchumba mboga na dog style, shida ya kushinda vijiweni kucheza kamari na kuongelea yasiyokuhusu....eti masaki hakuna nyumba ya bilioni sita🤣🤣🤣🤣🤣unajua bei za viwanja vya masaki achana tu na nyumba
 
Kwaiyo masaki kuna kiwanja cha kununu au siyo😂
 
Mtoto mdogo ww unajifunza udalali ili utoke kuishi kwa shemeji yako kulala sebuleni
 
Back
Top Bottom