Plot4Sale Ekari 30 zimegusa barabara ya lami, Boko Dar. Bei billion 6

Hii sehemu si kama unaelekea changamoto ni matumaini na humo ndani SI wanalima mboga mboga? Au nafananisha?
 
Kwaiyo masaki kuna kiwanja cha kununu au siyo😂
Viwanja vipo vingi mkuu,ni pesa yako,ila inaonesha wazi watanzania wachache sana wanajua mambo ya ardhi na wengi ni wavivu wa kufatilia mambo,mtu akitoka tu shule anahisii amemaliza kila kitu,viwanja vipo hadi kariakoo njoo na pesa tu,
 
Kariakoo viwanja vipo sehemu Gani kama sio jangwani kwenye bahari
 
Yan huyu nitapeli wa wazazi ila nampa worning aende kuangalia picha za dalali mwenzake alichofanywa baada kumuuzia nyumba mbovu mwanajeshi apate kujifunza
 
Sasa kugusa lami ndo nn mzee hata masaki hakuna nyumba ya 6bn

Huu ujuaji mwingine unadhihirisha UPUMBAVU wa Standadi Geji.

Unajua Bei Elekezi ya Ardhi pekeyake huko Masaki?

Uko zako Uswahilini huna unachojua wala kufuatilia lakini ukiingia mtandaoni unaropoka tu na kuleta ujuaji.

Mbumbumbu mkubwa.

Kwa taarifa yako;
Ipo MANSION inauzwa $10 Million Masaki.
Piga hesabu ni Billion ngapi kwa Pesa za Madafu.
Ukimaliza jicheke ujinga wako.
 
Siwezi bishana na watu wavivu wakutafuta na kuongeza sifuri kwenye mali za watu mtu anauza nyumba 10million wewe unaongeza inakuwa 40million alafu nibishane na kibwengu kama ww
 
Back
Top Bottom