El Merreikh Vs Azam FC 28/02/2015

Nimeangalia Libe score ilkua dakika ya 90
Elmareikh 1
Azam 0
Sjuii mpira umeishaje
 
Bantu lady sisi yanga tutashinda tu uongo? tumepangiwa team vibonde tu za makhirikhiri na ukanda huo wote. wala hatuna shaka na team kama BDF ilikuwa cha mtoto tu. Azam walikuwa kundi gumu sana walipeleka maombi kuikodi simba icheze kwa niaba yao sema simba ilikuwa tight na mgogoro tatizo. ial ndo hivyo kukweli azam ndo kapita siyo sisi yanga
 
Last edited by a moderator:
nawachukia waarabu saaana bora dini yangu ililetwa na wazungu......ingekuwa nchi ya kizungu tungeona mechi live na wala hakuna huo uku..ma wa waarabu wa kulazimisha matokeo kwa njia yoyote......tusiwakubali kabisa hawa mbwa kujiunga afrika mashariki utamaduni wetu na wao tofauti kabisa! tuipmbee yanga huko mbeleni wasipangwe na waarabu
 
Azam bado sana mashindano ya nje...

Game zao za maandalizi kule Lubumbashi zilitoa picha kuwa hawatafika kokote...
 
Naomba uondoe hiyo avatar kabla sijatangaza mgogoro na ww pls

Pole sana Mkuu. Nimeona hiyo avatar, sikuangalia jina, nilikuwa nadhani kwamba ni wewe mkuu yahoo, maana avatar hiyo inafahamika kuwa ni yako. Mkuu Blood Hurricane onesha uungwana wako kwa kubadilisha hiyo avatar mara moja.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Casuist safi sana. Watu wote wanaobahatika kufungua thread wafanye updates za namna hiyo. Kuna watu akifungua thread wanapotea moja kwa moja!

Hizo updates zimefanywa na mmoja wa mods, hazikufanywa na Casuist (I stand to be corrected).
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mkuu. Nimeona hiyo avatar, sikuangalia jina, nilikuwa nadhani kwamba ni wewe mkuu yahoo, maana avatar hiyo inafahamika kuwa ni yako. Mkuu Blood Hurricane onesha uungwana wako kwa kubadilisha hiyo avatar mara moja.

Asee huyu jamaa anatafuta ugomvi na mimi...
 
Last edited by a moderator:
Simba ndo kiboko ya waarabu, waulize Zamalek, wanajua hili.
 
Innah lillah wa innah illah rajiun!
 
Dah!, Azam watasubiri sana mashindano ya kimataifa. Kazi tu kuwaonea akina stand, prison, ndanda, jkt zote. Haya mashindano yana wenyewe. Kuna vitu ambavyo havijawahi kushiriki kazi kupiga kelele kama mtibwa, utaskia tumechoka Yanga na Simba cjui tunahitaji timu bora kuwakilisha taifa, wakipata nafasi wanafungwa 30 kwa bila
 
Simba ndo kiboko ya waarabu, waulize Zamalek, wanajua hili.
Kwani wale Al Ahly Shandy hawakuwa waarabu!!!?
Na wale Al hadoudy ya Misri haikuwa timu ya waarabu!!?, Acha kujisia Mambo ya kijinga ninyi mikia, kabla ya kuitoa Zamalek na baada ya kuitoa hiyo zamalek mliitoa timu gan tena ya waarabu!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…