Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
Inasikitisha sana azam hadi machozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imeniuma kwa kweli..kwa hasira naenda kunywa viroba kumi
Nimeangalia Libe score ilkua dakika ya 90
Elmareikh 1
Azam 0
Sjuii mpira umeishaje
Naomba uondoe hiyo avatar kabla sijatangaza mgogoro na ww pls
Dah !! Bora ndala wapangiwe Na waarabu tukose wote
Pole sana Mkuu. Nimeona hiyo avatar, sikuangalia jina, nilikuwa nadhani kwamba ni wewe mkuu yahoo, maana avatar hiyo inafahamika kuwa ni yako. Mkuu Blood Hurricane onesha uungwana wako kwa kubadilisha hiyo avatar mara moja.
Simba ndo kiboko ya waarabu, waulize Zamalek, wanajua hili.
Simba ndo kiboko ya waarabu, waulize Zamalek, wanajua hili.
Kwani wale Al Ahly Shandy hawakuwa waarabu!!!?Simba ndo kiboko ya waarabu, waulize Zamalek, wanajua hili.