El Merreikh Vs Azam FC 28/02/2015

El Merreikh Vs Azam FC 28/02/2015

ndo kusema wametoka? wakirudi ligi ya bongo wanakuta yanga nae anawavua taji kula leki
 
kwishney! Hawajamaa marufuku kujiunga shirikisho la afrika mashariki.
 
Haya ni matokeo ambayo niliyatarajia. Azam hawana kocha. Huyo mkameruni ni boya tu.
 
Piga hao azam,sijawai kuipenda azam tangu nizaliwe hakuna Cha uzalendo hapa
 
Back
Top Bottom