kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Unataka kumpangia cha kuandika? Utopolo tulizeni mtori.Kwani ukikaa kimya unapungukiwa nini
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kumpangia cha kuandika? Utopolo tulizeni mtori.Kwani ukikaa kimya unapungukiwa nini
Jinga kabisa hili..Nyakati za mwisho za career yake akarudi Yanga akawa anakula benchi akawa analalamika kwamba wamemtupa wamesahau wema wake.
Hiyo sio thamani ya manula.Klabu ya El Merreikh ya Sudan inadaiwa kuwa inataka kumsajili golikipa wa Simba Aishi Manula ,25, kwa dola 100,000 (Tsh milioni 231) na mshahara wa dola 8000 (Tsh milioni 18.5) kwa mwezi."
View attachment 1737958
Simba ya sasa inalipa vizuri ...Manula kama ana akili na anaangalia future ya familia yake, asiache hili dili limpite
Wabongo wanaomsisitiza asiondoke leo ndo watakaomcheka kesho akiyumba, na reference yao itakua ni kukataa hili dili
Achukue mfano kwa Ngassa.
Ngasa alikuwa muoga wa kujaribu changamoto mpya, alizoea kuimbwa na magazeti ya bongo na vijiwe vya kahawa, hakuamini kama anaweza kwenda nje na kufanya alichokuwa anafanya hapaInanikumbusha sakati la Ngasa mshahara wa 80M kwa mwezi akajinasibu anaipenda Yanga. Hahaha
Mshahara wa sasa wa Manula ni tsh ngapi?Simba ya sasa inalipa vizuri ...
Simba hawajawahi kubania wachezaji kama kuna maslahi, utopolo ndio wana tabia hizo Ngassa, Tegete, Chambua lakini cha ajabu utopolo ndio wamekomalia ishu ya Manula kuuzwa.Daah...! Jamani Tanzania wachezaji ni kwa nini wanabaniwa sana wanapotakiwa nje?. Check mpunga huo. Namuombea kijana amwache aende akapige huo mpunga wa mwisho wenye kheri kwenye soka lake
wewe kimekuwasha nini kujibuKwani ukikaa kimya unapungukiwa nini
Ingekuwa klabu kubwa kama unavyosema Simba wasingeipora kochaAende zake akachukuwe mbumba hizo
Al merreikh ni club kubwa hapa Africa
Ndogo ? Wakati pesa anayolipwa Simba hata 6M haifiki inarange kwenye tano na usheheMbona ndogo sana
Mpira ni biashara acha ushamba kwahiyo ulitaka huyo kocha azeeke akiwa na Al merreikh?Ingekuwa klabu kubwa kama unavyosema Simba wasingeipora kocha
Endelea kumjaza ujinga ana achaje pesa ndefu kama hio ?Unataka kumpangia cha kuandika? Utopolo tulizeni mtori.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
I wish asome huu ushauri wakoManula kama ana akili na anaangalia future ya familia yake, asiache hili dili limpite
Wabongo wanaomsisitiza asiondoke leo ndo watakaomcheka kesho akiyumba, na reference yao itakua ni kukataa hili dili
Achukue mfano kwa Ngassa.
Upuuzi kabisa,, arsenal ya israeli au ya tandahimba?Wanautani hao Manula thamani yake ni kubwa mno sio wa kumgombea kwa dau hilo. Ni goal keeper ambaye hata kukiwa na wachezaji watatu uwanjani bado yale mashaka ya kufungwa huyapati.
Kwa bei hiyo labda waongee na yanga wanaweza kupata wachezaji hata wanne (ila wote wabovu)
Tumekuwa tukisumbuliwa sana siku hizi za karibuni kwa clubs kubwa za kimataifa kutaka kununua wachezaji wetu.
Mfano juzi hapo Arsernal nao wametuma maombi yao kwa dau la 1B, uongozi wa simba uliwaambia tulieni kwanza tukimaliza msiba tutalifikiria ombi lenu
mshamba wewe unayecomment bila kufikiria, nimekujibu kwa hoja jibu hoja.Mpira ni biashara acha ushamba kwahiyo ulitaka huyo kocha azeeke akiwa na Al merreikh?