El Merreikh yatoa dau kwa Manula

El Merreikh yatoa dau kwa Manula

Manula kama ana akili na anaangalia future ya familia yake, asiache hili dili limpite

Wabongo wanaomsisitiza asiondoke leo ndo watakaomcheka kesho akiyumba, na reference yao itakua ni kukataa hili dili

Achukue mfano kwa Ngassa.
 
Inanikumbusha sakati la Ngasa mshahara wa 80M kwa mwezi akajinasibu anaipenda Yanga. Hahaha
Ngasa alikuwa muoga wa kujaribu changamoto mpya, alizoea kuimbwa na magazeti ya bongo na vijiwe vya kahawa, hakuamini kama anaweza kwenda nje na kufanya alichokuwa anafanya hapa

Ila hapo kwenye Huo mshahara wa 80M sio kweli mkuu wabongo tuliongeza chumvi Tu japokuwa kama angefanikiwa kwenda angevuta salary ndefu compared na aliyokuwa anapokea ya mafungu mafungu 2ml ya yanga

Kwa miaka hiyo ambayo ngasa alitakiwa na zamalek walikuwa wachezaji hawalipwi hivo, Zama hizi Sawa kuna wachezaji humu humu Africa wanawazidi mishahara wachezaji wanaocheza nje ya Africa, kuna wachezaji wanalipwa kufuru huko pyramid, Zamalek, Al Ahly, kaizer chief ata kina samatta hawaoni ndani
 
Daah...! Jamani Tanzania wachezaji ni kwa nini wanabaniwa sana wanapotakiwa nje?. Check mpunga huo. Namuombea kijana amwache aende akapige huo mpunga wa mwisho wenye kheri kwenye soka lake
Simba hawajawahi kubania wachezaji kama kuna maslahi, utopolo ndio wana tabia hizo Ngassa, Tegete, Chambua lakini cha ajabu utopolo ndio wamekomalia ishu ya Manula kuuzwa.
Ni heri mtu akutukane tusi lolote kuliko kuwa utopolo kwani akili zao ni zaidi ya wendawazimu.
 
Manula kama ana akili na anaangalia future ya familia yake, asiache hili dili limpite

Wabongo wanaomsisitiza asiondoke leo ndo watakaomcheka kesho akiyumba, na reference yao itakua ni kukataa hili dili

Achukue mfano kwa Ngassa.
I wish asome huu ushauri wako
 
Kwani Simba analipwa mshahara kiasi gani labda tuanzie hapo
 
Wanautani hao Manula thamani yake ni kubwa mno sio wa kumgombea kwa dau hilo. Ni goal keeper ambaye hata kukiwa na wachezaji watatu uwanjani bado yale mashaka ya kufungwa huyapati.

Kwa bei hiyo labda waongee na yanga wanaweza kupata wachezaji hata wanne (ila wote wabovu)

Tumekuwa tukisumbuliwa sana siku hizi za karibuni kwa clubs kubwa za kimataifa kutaka kununua wachezaji wetu.

Mfano juzi hapo Arsernal nao wametuma maombi yao kwa dau la 1B, uongozi wa simba uliwaambia tulieni kwanza tukimaliza msiba tutalifikiria ombi lenu
Upuuzi kabisa,, arsenal ya israeli au ya tandahimba?
 
Back
Top Bottom