El Nino ipo chukua HATUA mapema

Mkuu ,Sio lazima El Nino ipige posta, Lakin Inaweza ikapiga ukanda wa Juu na nyie watu wa mbezi Luis,jagwani, etc, mkajikuta mnasobwa
 
Mkuu ,Sio lazima El Nino ipige posta, Lakin Inaweza ikapiga ukanda wa Juu na nyie watu wa mbezi Luis,jagwani, etc, mkajikuta mnasobwa
Hiyo sio Tafsiri ya Mvua ya elnino (Kama unajua lakini)
Hiyo ni Mvua ya Masika au mvua ya vuli iliyozidi na kwa Tanga wanaita Mvua za Mei
 
Hiyo sio Tafsiri ya Mvua ya elnino (Kama unajua lakini)
Hiyo ni Mvua ya Masika au mvua ya vuli iliyozidi na kwa Tanga wanaita Mvua za Mei
Sawa mkuu, popote unapoishi chukua tahadhari El Nino IPO
 
shebe ndio muhimu, ukishiba chakula bora unakuwa na afya ya mwili na akili. Ukiwa na akili timamu utafiri vizuri kutatua changamoto za kimaisha
Alafu ndo el nino inaisha baada ya wewe kushiba sio
 
Wakazi wa Dar es salaam tupeni update Hali ilivyo hapo kwako
 
Serikali ijiandae na boti za uwokozi, Muda wowote kinanuka
 
Sasa mvua kidogo hii ya vuli ndio hivi masika ikianza itakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…