El Nino ipo chukua HATUA mapema

El Nino ipo chukua HATUA mapema

Na ndo maana nikakuuliza kama unajua chchote kuhusu ELNINO maana hiyo sio elnino ni Mvua ya vuli ya kawaida..
Ungekuwa una umri mkubwa kung'amua Elinino ikoje na ina sifa gani usinge sema hivyo...
Anyway Hta TMA Wametangaza kuwa ni VULI Rain na sio Elnino
Mkuu ,Sio lazima El Nino ipige posta, Lakin Inaweza ikapiga ukanda wa Juu na nyie watu wa mbezi Luis,jagwani, etc, mkajikuta mnasobwa
 
Mkuu ,Sio lazima El Nino ipige posta, Lakin Inaweza ikapiga ukanda wa Juu na nyie watu wa mbezi Luis,jagwani, etc, mkajikuta mnasobwa
Hiyo sio Tafsiri ya Mvua ya elnino (Kama unajua lakini)
Hiyo ni Mvua ya Masika au mvua ya vuli iliyozidi na kwa Tanga wanaita Mvua za Mei
 
Hiyo sio Tafsiri ya Mvua ya elnino (Kama unajua lakini)
Hiyo ni Mvua ya Masika au mvua ya vuli iliyozidi na kwa Tanga wanaita Mvua za Mei
Sawa mkuu, popote unapoishi chukua tahadhari El Nino IPO
 
shebe ndio muhimu, ukishiba chakula bora unakuwa na afya ya mwili na akili. Ukiwa na akili timamu utafiri vizuri kutatua changamoto za kimaisha
Alafu ndo el nino inaisha baada ya wewe kushiba sio
 
Wakazi wa Dar es salaam tupeni update Hali ilivyo hapo kwako
 
Sasa mvua kidogo hii ya vuli ndio hivi masika ikianza itakuaje?
 
Back
Top Bottom