Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
- Thread starter
- #121
Mkuu ,Sio lazima El Nino ipige posta, Lakin Inaweza ikapiga ukanda wa Juu na nyie watu wa mbezi Luis,jagwani, etc, mkajikuta mnasobwaNa ndo maana nikakuuliza kama unajua chchote kuhusu ELNINO maana hiyo sio elnino ni Mvua ya vuli ya kawaida..
Ungekuwa una umri mkubwa kung'amua Elinino ikoje na ina sifa gani usinge sema hivyo...
Anyway Hta TMA Wametangaza kuwa ni VULI Rain na sio Elnino