El Nino ipo chukua HATUA mapema

El Nino ipo chukua HATUA mapema

Nipo maeneo ya Tazara toka saa 1 asubuhi, zaidi ya manyunyu hakuna cha maana nilichokiona kwa upande wa mvua.

Nahisi itakuwa si kila sehemu ya Dar kwa leo.
Sasa ndio ujiulize manyunyu ya fananya Nini tazarae
 
Kwa wakazi wa Dar es salaam, mlio kuwa munasema TMA ni waongo, Haya [emoji115] Sasa tupeni update Hali ilivyo hapo kwako.

e wee mkazi AU mfanya biashara wa Dar chukua tahadhari ya El Nino, IPO
El nino hakuna hakuna labda El manyunyu Kwa misitu ipi hizo vua za masika TU mpaka watu wafunge na mikesha ya maombi
 
We utakuwa uko chanika halafu unasema uko Dar
Maana mvua inaanzia pugu mpaka chanika huko..

Una miaka mingapi?
Unaijua Elnino kweli?
Mwaka 1998 Ulikuwa na miaka mingapi?
Uliona ilivyokuwa? Unajua athari zke?
Kwakweli tulioshuhudia Elnino ya mwaka huo wakituambia sasa Kuna Elnino tunaona kama wanatukejeli hv. Nilipata kushuhudia mvua inanyesha siku Tano bila kukata miaka hiyo
 
Kwani Chanika ni Kisarawe?

Kisarawe inaanzia Homboza
 
Kwakweli tulioshuhudia Elnino ya mwaka huo wakituambia sasa Kuna Elnino tunaona kama wanatukejeli hv. Nilipata kushuhudia mvua inanyesha siku Tano bila kukata miaka hiyo
Ni Kweli mkuu hatuombei El Nino ije, , Ila dalili zake tajar,
Alafu kipindi hicho miaka ya 90 hakuwa rahisi kama Sasa ivi kupata update on Time,

Watu wali stukiziwa Tu Ngoma hii APA inamwagika
 
El nino hakuna hakuna labda El manyunyu Kwa misitu ipi hizo vua za masika TU mpaka watu wafunge na mikesha ya maombi
Tena kitendo cha kukata miti ovyo ndio italeta El Nino ya kufa MTU
 
Back
Top Bottom