Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okSasa ndio ujiulize manyunyu ya fananya Nini tazarae
Ni kweli mkuuKunyesha Kwa mafungu inaokoa Sana Maisha ya watu,
Ila ikisema inanyeshe Dar mzima Kwa DK 5 Tu, ni maafa makubwa sana
El nino hakuna hakuna labda El manyunyu Kwa misitu ipi hizo vua za masika TU mpaka watu wafunge na mikesha ya maombiKwa wakazi wa Dar es salaam, mlio kuwa munasema TMA ni waongo, Haya [emoji115] Sasa tupeni update Hali ilivyo hapo kwako.
e wee mkazi AU mfanya biashara wa Dar chukua tahadhari ya El Nino, IPO
kabisaInanyesha baadhi ya maeneo tu
Kwakweli tulioshuhudia Elnino ya mwaka huo wakituambia sasa Kuna Elnino tunaona kama wanatukejeli hv. Nilipata kushuhudia mvua inanyesha siku Tano bila kukata miaka hiyoWe utakuwa uko chanika halafu unasema uko Dar
Maana mvua inaanzia pugu mpaka chanika huko..
Una miaka mingapi?
Unaijua Elnino kweli?
Mwaka 1998 Ulikuwa na miaka mingapi?
Uliona ilivyokuwa? Unajua athari zke?
Kwani Chanika ni Kisarawe?We utakuwa uko chanika halafu unasema uko Dar
Maana mvua inaanzia pugu mpaka chanika huko..
Una miaka mingapi?
Unaijua Elnino kweli?
Mwaka 1998 Ulikuwa na miaka mingapi?
Uliona ilivyokuwa? Unajua athari zke?
Kwa mpalange ni dhambi. Ondoka huko!Mimi Niko Kwa mpalange Huku mvua inayesha kinoma
Hongera kwa kuwa na kwako..Dar kubwa me kwangu yamenyesha manyunyu tu
Mwaka 1997 sio 98We utakuwa uko chanika halafu unasema uko Dar
Maana mvua inaanzia pugu mpaka chanika huko..
Una miaka mingapi?
Unaijua Elnino kweli?
Mwaka 1998 Ulikuwa na miaka mingapi?
Uliona ilivyokuwa? Unajua athari zke?
Ni Kweli mkuu hatuombei El Nino ije, , Ila dalili zake tajar,Kwakweli tulioshuhudia Elnino ya mwaka huo wakituambia sasa Kuna Elnino tunaona kama wanatukejeli hv. Nilipata kushuhudia mvua inanyesha siku Tano bila kukata miaka hiyo