Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kipindi cha mvua ya kawaida ya majira ya vuli. Sio kila mvua ni elninoKwa wakazi wa Dar es salaam, mlio kuwa munasema TMA ni waongo, Haya 👆 Sasa tupeni update Hali ilivyo hapo kwako.
e wee mkazi AU mfanya biashara wa Dar chukua tahadhari ya El Nino, IPO
Sasa huko sio Dar mzee wangu 🤣🤣🤣🤣Ni kweli kuanzia Pugu inamwagika si poa
Umewaza chakula tu?Hiyo el nino wengine tunaisubiri kwa hamu, ina faida kubwa sana kiuchumi. Mvua kubwa ikinyesha hujaza mito na mabwawa na kufanya samaki wengi watoke kwenye makazi yao na kuja nje kufuata chakula katika kina kifupi cha maji. Kadiri maji hayo yaliyotapakaa kwenye kina kifupi yanapopungua kurudi mtoni na kwenye mabwawa huacha samaki wakionekana nje na kuwa rahisi kuvuliwa kwa wingi. Samaki wengi hukwama kurudi mtoni na mabwawani
Naona mnaipenda sana ElninoKwa wakazi wa Dar es salaam, mlio kuwa munasema TMA ni waongo, Haya 👆 Sasa tupeni update Hali ilivyo hapo kwako.
e wee mkazi AU mfanya biashara wa Dar chukua tahadhari ya El Nino, IPO
Kwa hiyo Gongo la Mboto na Chanika zipo Kisarawe?Haha kama unaishi Chanik mzee wewe uko Kisarawe tu wala sio Dar hii kulazimisha mnaishi Dar itaisha lini kuanzia Gongo la mboto wote nyie ni kisarawe tu..
Unakuta mtu anaishi Ulongoni B au ulongoni A bado anasema eti anaishi Dar hebu acheni hizo wazalamo wa Kisarawe nyinyi
😳Chupa limeamka na chai
Mzee kama unaishi huko Ondoka sio Dar huko..Kwa hiyo Gongo la Mboto na Chanika zipo Kisarawe?
Sasa kama umeenda shule basi ni hasara tu!
Sure mkuu inatusaidia na sisi wachonga mitumbwi kuuza kwa kiwango kikubwa maana el nino ikipiga ipasavyo maji huongezeka na watu wataacha kutumia magari watatumia mitumbwi kusafiri na kufanya shughuli za uvuvi kwa urahisindio, naihitaji ina faida kiuchumi, kuuza samaki kwa wingi, samaki wanaotokana na mafuriko ya mito na mabwawa, samaki hutoka huko na kuja kwenye kina kifupi cha maji, kuwavua inakuwa rahisi mno hata kwa mikono unawashika
Pole sana. Una maanisha Chanika hapafai kwa kuwa ni shamba kama Kisarawe?Mzee kama unaishi huko Ondoka sio Dar huko..
Mnapalazimisha tu huko ni bush sana..
Yeah mkuu uko sahihi ni Hasara kweli ila hasara kwa wale wote wajinga maana nilitoka Kwao siku nyingi sana niliposoma
Hahah mkuu Nina mashamba mengi sana huko Kwahyo sina hofu nako napajua vizuri sana...Pole sana. Una maanisha Chanika hapafai kwa kuwa ni shamba kama Kisarawe?
Sasa kwa taarifa yako kwa Mkoa wa Pwani Kisarawe inaongoza kwa kuwa na ardhi nzuri ya kilimo.
Na huko ndiko chakula maarufu Dar yaani Muhogo inakotoka.
By the way nimewekeza huko pamoja na Kibaha na Chalinze.
Bakia na ujinga wako boss
duh! Maji yakijaa mapaka nchi kavu kutokana mafuriko hutengeneza visiwa na delta nyingi. Ngalawa hutumika sana kusafirisha wananchi kati ya kisiwa kimoja na kingine. Vijiji na miji hugawanywa vipande vipande, sehemu zenye miinuko huwa visiwa na za mabondeni maji hujaa huko kuungana na bahari, maziwa na mito. Mafuriko yasikie tu ukiyaona yanatisha sanaSure mkuu inatusaidia na sisi wachonga mitumbwi kuuza kwa kiwango kikubwa maana el nino ikipiga ipasavyo maji huongezeka na watu wataacha kutumia magari watatumia mitumbwi kusafiri na kufanya shughuli za uvuvi kwa urahisi
Sasa kama ni vuli kuna haja gani ya kutoa tahadhari, ,Na ndo maana nikakuuliza kama unajua chchote kuhusu ELNINO maana hiyo sio elnino ni Mvua ya vuli ya kawaida..
Ungekuwa una umri mkubwa kung'amua Elinino ikoje na ina sifa gani usinge sema hivyo...
Anyway Hta TMA Wametangaza kuwa ni VULI Rain na sio Elnino
shebe ndio muhimu, ukishiba chakula bora unakuwa na afya ya mwili na akili. Ukiwa na akili timamu utafiri vizuri kutatua changamoto za kimaishaUmewaza chakula tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pia inasaidia mamba wa mtoni kuja kuishi kwenye madimbwi. Nyoka watakimbilia ndani kwa sababu hawawezi kuogelea.
Bila kusahau mtatapisha vyoo