El Nino ipo chukua HATUA mapema

El Nino ipo chukua HATUA mapema

Kwa wakazi wa Dar es salaam, mlio kuwa munasema TMA ni waongo, Haya 👆 Sasa tupeni update Hali ilivyo hapo kwako.

e wee mkazi AU mfanya biashara wa Dar chukua tahadhari ya El Nino, IPO
Ni kipindi cha mvua ya kawaida ya majira ya vuli. Sio kila mvua ni elnino
 
Hiyo el nino wengine tunaisubiri kwa hamu, ina faida kubwa sana kiuchumi. Mvua kubwa ikinyesha hujaza mito na mabwawa na kufanya samaki wengi watoke kwenye makazi yao na kuja nje kufuata chakula katika kina kifupi cha maji. Kadiri maji hayo yaliyotapakaa kwenye kina kifupi yanapopungua kurudi mtoni na kwenye mabwawa huacha samaki wakionekana nje na kuwa rahisi kuvuliwa kwa wingi. Samaki wengi hukwama kurudi mtoni na mabwawani
Umewaza chakula tu?
 
Kwa wakazi wa Dar es salaam, mlio kuwa munasema TMA ni waongo, Haya 👆 Sasa tupeni update Hali ilivyo hapo kwako.

e wee mkazi AU mfanya biashara wa Dar chukua tahadhari ya El Nino, IPO
Naona mnaipenda sana Elnino
 
Haha kama unaishi Chanik mzee wewe uko Kisarawe tu wala sio Dar hii kulazimisha mnaishi Dar itaisha lini kuanzia Gongo la mboto wote nyie ni kisarawe tu..

Unakuta mtu anaishi Ulongoni B au ulongoni A bado anasema eti anaishi Dar hebu acheni hizo wazalamo wa Kisarawe nyinyi
Kwa hiyo Gongo la Mboto na Chanika zipo Kisarawe?

Sasa kama umeenda shule basi ni hasara tu!
 
Kwa hiyo Gongo la Mboto na Chanika zipo Kisarawe?

Sasa kama umeenda shule basi ni hasara tu!
Mzee kama unaishi huko Ondoka sio Dar huko..
Mnapalazimisha tu huko ni bush sana..

Yeah mkuu uko sahihi ni Hasara kweli ila hasara kwa wale wote wajinga maana nilitoka Kwao siku nyingi sana niliposoma
 
ndio, naihitaji ina faida kiuchumi, kuuza samaki kwa wingi, samaki wanaotokana na mafuriko ya mito na mabwawa, samaki hutoka huko na kuja kwenye kina kifupi cha maji, kuwavua inakuwa rahisi mno hata kwa mikono unawashika
Sure mkuu inatusaidia na sisi wachonga mitumbwi kuuza kwa kiwango kikubwa maana el nino ikipiga ipasavyo maji huongezeka na watu wataacha kutumia magari watatumia mitumbwi kusafiri na kufanya shughuli za uvuvi kwa urahisi
 
Mzee kama unaishi huko Ondoka sio Dar huko..
Mnapalazimisha tu huko ni bush sana..

Yeah mkuu uko sahihi ni Hasara kweli ila hasara kwa wale wote wajinga maana nilitoka Kwao siku nyingi sana niliposoma
Pole sana. Una maanisha Chanika hapafai kwa kuwa ni shamba kama Kisarawe?

Sasa kwa taarifa yako kwa Mkoa wa Pwani Kisarawe inaongoza kwa kuwa na ardhi nzuri ya kilimo.

Na huko ndiko chakula maarufu Dar yaani mihogo inakotoka.

By the way nimewekeza huko pamoja na Kibaha na Chalinze.

Bakia na ujinga wako boss
 
Pole sana. Una maanisha Chanika hapafai kwa kuwa ni shamba kama Kisarawe?

Sasa kwa taarifa yako kwa Mkoa wa Pwani Kisarawe inaongoza kwa kuwa na ardhi nzuri ya kilimo.

Na huko ndiko chakula maarufu Dar yaani Muhogo inakotoka.

By the way nimewekeza huko pamoja na Kibaha na Chalinze.

Bakia na ujinga wako boss
Hahah mkuu Nina mashamba mengi sana huko Kwahyo sina hofu nako napajua vizuri sana...

Hakuna mahala nimesema hapafai ninachosema kung'angania kuwa ni Dar ndo vijana kama nyinyi mnakosea sana Kwenye miaka ya Juzi tu hapa 99 mpaka 2000s tulikuwa tunanunua Mashamba huko kwa bei ndogo sana...

Na mimi nimewekeza huko...
Na nimebakia na ujinga wangu wa kuamini kwamba Chanika sio Dar ni Mkoa wa pwani!
 
Sure mkuu inatusaidia na sisi wachonga mitumbwi kuuza kwa kiwango kikubwa maana el nino ikipiga ipasavyo maji huongezeka na watu wataacha kutumia magari watatumia mitumbwi kusafiri na kufanya shughuli za uvuvi kwa urahisi
duh! Maji yakijaa mapaka nchi kavu kutokana mafuriko hutengeneza visiwa na delta nyingi. Ngalawa hutumika sana kusafirisha wananchi kati ya kisiwa kimoja na kingine. Vijiji na miji hugawanywa vipande vipande, sehemu zenye miinuko huwa visiwa na za mabondeni maji hujaa huko kuungana na bahari, maziwa na mito. Mafuriko yasikie tu ukiyaona yanatisha sana
 
Na ndo maana nikakuuliza kama unajua chchote kuhusu ELNINO maana hiyo sio elnino ni Mvua ya vuli ya kawaida..
Ungekuwa una umri mkubwa kung'amua Elinino ikoje na ina sifa gani usinge sema hivyo...
Anyway Hta TMA Wametangaza kuwa ni VULI Rain na sio Elnino
Sasa kama ni vuli kuna haja gani ya kutoa tahadhari, ,
 
Pia inasaidia mamba wa mtoni kuja kuishi kwenye madimbwi. Nyoka watakimbilia ndani kwa sababu hawawezi kuogelea.
Bila kusahau mtatapisha vyoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom