El Niño yabadili ratiba ya mitihani ya taifa

Ningeambiwa nitoe maoni kuhusu ratiba, HESABU ingekuwa na siku yake yenyewe (kutokana na umuhimu wake).
Na kama ratiba ipo tight ningeipanga na kiswahili au English language
 
El Nino haina balaa wala hatari kubwa kama mama yako muuuajiiii
 
Hawa wanatuongoza kwa sababu waliiba kura na ukisema wasichopenda wanakuteka na kukuua na ukienda kwao hata kutibiwa huwezi na utaambiwa wewe sio mzanzibari , this doesn’t make any sense, ni zaidi ya ukoloni
 
Mwalimu ni mtu mzima kwanza wameshakuwa wengi hata wakifa tuna replace haraka
Walimu wengi wakati watoto wanapelekwa baadhi ya shule zina waalimu wanne na watoto zaidi ya 500, shule zingine waalimu wa sayansi hakuna kabisa....na hawaajiriwi sheikh, wanachukua Form 6 leavers
 
Walimu wengi wakati watoto wanapelekwa baadhi ya shule zina waalimu wanne na watoto zaidi ya 500, shule zingine waalimu wa sayansi hakuna kabisa....na hawaajiriwi sheikh, wanachukua Form 6 leavers
Sijui ni kwamba nyie ni mapumbavu sana au ni nini, walimu ni wengi mnoo kiasi imepelekea hadi chuo kikuu cha dodoma kupunguza idadi ya kozi za ualimu na hata kupunguza idadi ya udahili wa wanafunzi wa elimu.

Katika familia yetu tuna walimu 6 na wanaofanya hiyo kazi ni wawili tu tena ni kwa sababu wako mijini tena mjini Mbinga na mjini Sengerema 😐
 
Utawala wa mwiny I ilipiga si kitoto hadi watu wakafa na wengine kunusuru uhai kwa kupanda kwenye mapaa ya nyumba kabla kuokolewa na helicopter
 
Elimu ya hapa na pale inaongoza wizara ya elimu...!

Soon mtamsikia mamaenu kamteua ABDUL MWANAE TENA KUWA MBUNGE!
 
Usiite watu Wapumbavu kwasababu unaweza kuwa Mpumbavu kuwazidi hao, hujaweka wazi ni Waalimu wa masomo yapi hasa, hebu bainisha ueleweke
 
MARA HUKU JEZI ZA 🌟

MARA MITHANI IMERUDISHWA NYUMA

JAMANI NN SHIDA TENA RUDISHENI NYUMA NA MISHAHARA YETU BASI

MAANA WENGINE TUMEJIPANGA NOVEMBER SASA DUH

NAPITATU
 
******* kweli. 🤭

Mimi nakumbuka sijui ni lini ila 90s nilikuwa la tatu tulikuwa tunacheza kwenye mvua Ubungo kisiwani.! S/M

Mbuyu ulipigwa na Radi ukadondoka ila vidume tulikuwa tunaogelea kwenye mvua bila wasi..! Yani Elninyo kitu gani enzi zangu 😎
 
Zamani nitofauti na sasahvi😃
 
Zamani nitofauti na sasahvi😃
Tofauti yake nini.!?

Mimi Sisemi hivyo kisa sijui madhara yake

Ila kila kitu ni kizito wewe ukiamua unakichukuliaje

Tuseme umeshaweka pesa ya tahadhari mapema.!

Maghala ya ushirika kila wilaya na kata si tayari yapo weka stok

Kama janga likitokea kweli hutokuwa na usumbufu wa kufikia watu na mahitaji yao ya lazima..

Ila kama utasubiri makaravati yasanuliwe ili utumie gharama za ndege kuficha ufedhuli wako nalo jambo jema

Hata kama majanga yasitokee stoke tutamwaga mipakani kurejesha makadirio yetu
 
TUmeuzwa..😔😔😔
 
Kuna PRE-FORM ONE Zimezagaa nchi nzima, anazungumziaje kuhusu hizi? Maana wengi wanapanga mpaka December, serikali haijaliona hilo?
 
El nino HAIJI!
MSIJE MKAFISADI 730BIL/-!
MUONYE MAMA KABISAAA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…