Kupeperusha bendera hivyo maana yake meli imetengenezwa / kusajiliwa Tanzania kitu ambacho si cha kweli.Si mnasema si ishu kuchukua bendera ya nchi nyingine na kuichomeka kwenye meli yako ili tu uzugie mambo yapite. Labda hiyo meli si ya tanzania wameamua tu kuweka bendera wasishitukiwe
Inawezekana, lakini majuzi mkurugenzi wa kuzuia madawa ya kulevya alikua analalamika kuwa maisha yake yapo hatarini. Jaribu kuwaza kwa unyeti wa nafasi yake lakini anatumiwa meseji za vitisho, TCRA wapo wapi kufatilia hizo namba na kujua wahusika?Ipo sheria inazihusu meli kusajiriwa Nchi yeyote hata kama wamiliki sio Watanzania miaka ya nyuma meli za Korea Kaskazini nyingi zilikua na usajiri wa Tanzania na wanaweka bendera yetu mpaka walipoambiwa wasifanye hivyo na Serikali ya Tanzania...
Meli nyingi za kubeba mafuta za Maduro alizipa usajiri wa Russia hata hiyo moja ambayo wameingia kwenye mgogoro na USA ni ya Venezuela ila usajiri na bendera ya Russia.
Mpaka wamefikia hapo wamepita sehemu kadhaa..2.wakipita kama wana benders yenu na docs lazima zinaonyesha mizigo frm benders hapa nabaki kimya mjukuu wa mwandambooSi mnasema si ishu kuchukua bendera ya nchi nyingine na kuichomeka kwenye meli yako ili tu uzugie mambo yapite. Labda hiyo meli si ya tanzania wameamua tu kuweka bendera wasishitukiwe
Soon anakuwa PablošDuh kwahyo baada ya kuuza dhahabu na kushindwa kulipa mishahara, Sa100 na Abdul wameanza kuuza ngada ili wanae tuishi?
Ila turespect hustle za prezdaa wazee
Inaweza huo mzigo kuwa na connection na Bongo lakini pia inaweza kuwa hauhusiani kwa maana ya mzigo ila kampuni ya meli imekuwa registered Bongo(Ensign) hence the TZ flag.Wakuu,
Bendera ya Tanzania kuwa kwenye meli hii inamaanisha nini na ina athari gani kidiplomasia? Na hiyo mizigo hapo chini imefungwa kwa bendera yetu pia?š¤
====
View attachment 3548239
Rais Gustavo Petro ametangaza kuwa nchi ya Colombia imekamata takriban tani 7.25 za cocaine katika operesheni kubwa ya kimataifa, inayotajwa kuwa inaweza kuwa kashfa kubwa zaidi ya ukamataji wa dawa za kulevya kwa siku moja katika historia ya biashara hiyo.
Source: NTD News
Inategemea vitisho katoa nani, TZ kuna watu untouchable.Inawezekana, lakini majuzi mkurugenzi wa kuzuia madawa ya kulevya alikua analalamika kuwa maisha yake yapo hatarini. Jaribu kuwaza kwa unyeti wa nafasi yake lakini anatumiwa meseji za vitisho, TCRA wapo wapi kufatilia hizo namba na kujua wahusika?
Wewe hujui biashara ya meli inayofanywa na Jamhuri ya watu wa Zanzibar kwa niaba ya waTanzania wote?Kama taifa ni lini tulikua na meli kubwa kiasi hicho ukichana na Ziwa victoria na Tanganyika?
We ndo Mpumbavu hakuna hata mtanzania mmoja aliyekamatwa in connection na dawa hizo bendera ni Geresha tuu mbona rahisi sana kuelewa? Na hakuna mtanzania aliyehusishwaWewe hujui biashara ya meli inayofanywa na Jamhuri ya watu wa Zanzibar kwa niaba ya waTanzania wote?
Huna hata akili ndogo ya kukuongoza kujuwa kuwa hiyo meli yenye bendera ya Tanzania siyo ya kwanza kuhusishwa kwenye maswala ya kihalifu?
Bendera kwenye meli hutumiwa kwa sababu zipi, hujui? "Flag of convenience". Zanzibar inafanya biashara ya kuweka bendera yetu kwenye meli hizo, hilo nalo hujui?We ndo Mpumbavu hakuna hata mtanzania mmoja aliyekamatwa in connection na dawa hizo bendera ni Geresha tuu mbona rahisi sana kuelewa?
I thought you were intelligent. Sorry for my misconceptionšKumekuchaaaaa!! Watoto pendwa sahivi wako kimataifa zaidi.
Maana km hapa Kwa mtogole wameshawamaliza, ukiongezea ma vichungu na konyagi.
Baaaaaasi!! Kuna nini tenaaaaaa?