Electrical eel samaki anayetoa umeme

Hawa kambale, Kuna wanaoishi baharini

wanatabia ya kuwawinda Hata Papa wa wastani.

Akiingia 18 zake, anapgwa shoti za kutosha.

Kisha anamgeuza kitoweo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana Mkuu, nimekulana ngozi yake mara nyingi sana, unaisafisha ngozi yake kwa majivu kama unavyomsafisha kambale then unamkatata Kata vipande. Kwa kumkaanga anakuwa vizuri zaidi kuliko ukimbanika
Niliaminishwa hivyo na wavuvi. Wanapatikana kwa wingi sana mto Nile, anafanana kwa asilimia kubwa na kamongo.

Akichunwa nyama yake imekaa kama nyama ya nundu ya ng'ombe, nyama kuchanganyika na mafuta.

Basi kama hana sumu, yawezekana ni mambo ya mila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshauri Magufuli awachukue na kuwatumia kuzalisha umeme hapa chato
 
Huyo sio chunusu wasitake kututoa kwenye Imani yetu ya kuamin chunus yupo ili tuamin chunus ni samaki Hao samak nimewala Sana mbona maelezo yalio tolewa na nilivyo waona ni tofaut nimesha wala wa ziwa nyasa na tanganyika ndio wanashot ila sio yakumzimisha mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana supu na hanogi ukimchemsha maana atasagika. Wapo kwenye mito yetu hii tena wengi sana, ila wanaopatikana ukanda wetu huu si wakubwa sana. Wa ukubwa wa mita moja ni wachache kama si hakuna kabisa..
 
Pia hutumia mechanism ya kuzalisha umeme pale anapokuwa ameshamtagert pray wake.
 
Sisi tunamjua Chunusi
 
Mkuu unatokea ilonga TTC?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wa Nat geo wild tunatabasamu tu hapa!Ila kuna mmoja alishwahi kurecord volts 1200++!Niliona Nat geo wild na wakawa wanatest na kila mara wanapata reading to
 
hatuwezi watumia kama chanzo cha umeme majumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…