GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
Ukimnywa na alkasusi bora zaidi kuliko tiba kwa wavulana wa dar.Vipi analiwa? Na anaongeza madini gani mwilini tukimla? Vipi nguvu za kiume haziwezi kubustiwa akiliwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimnywa na alkasusi bora zaidi kuliko tiba kwa wavulana wa dar.Vipi analiwa? Na anaongeza madini gani mwilini tukimla? Vipi nguvu za kiume haziwezi kubustiwa akiliwa?
Analika....lakini mpaka aamue mwenyewe.Huyo samaki je analika ama
Wewe acha uongo hamna mgebuka asiyekuwa na magamba labda migebuka ya kolomije kwenye matope inayotokana na vyura wakiwa wadogo...wanaokatika mkia wanakuwa samaki kambaree,wasio katika wanaendelea kuwa vyura.
Naunga mkono hojaChunusi ni mnyama aina ya jinni...linaloishi ndani ya mito,mabwawa na maziwa...huwa na muonekano wa mwanga mkali sana usiyovumilika kumtazama hakuna anayejua muonekano au sura ya chunusi.
Huishi kwa kunywa damu ya viumbe hai kama wanyama na binaadamu.
MI nishawavua sana kwa ndoano bondeni wakati wa makuzi yangu.Electric eel, huyo samaki ni 'bad news'. Kuna video YouTube anampiga shoti mamba wa ukubwa wa wastani. Yule mamba alikufa ndani ya dakika 1. Ila kuna wahuni wanamvua na kumla. Wanamvutia mahali kwenye shimo la maji pembeni ya mto, akiingia tu, wanamtia marungu kadhaa, akifa ndio wanamshika sasa kuandaa kitoweo.
Ulikuwa unamtoaje kwenye ndoano? Maana sio kambale huyo mwenye sharubu. Hao samaki wanapatikana kwenye mito huko Amerika ya Kusini.MI nishawavua sana kwa ndoano bondeni wakati wa makuzi yangu.
Wanaliwa na ni watamu
Mama tena! Lazima apate picha za kutosha![emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1361653View attachment 1361654View attachment 1361655View attachment 1361656View attachment 1361658
Nmecheka[emoji23] ila naunga mkonosamaki huyo yupo na chunusi yupo..
Hata mm nimemuona anatishaa
[emoji23][emoji23]
Na kumla hadi achunwe ngozi.
Hata ziwa Tanganyika wapo nasikiaUlikuwa unamtoaje kwenye ndoano? Maana sio kambale huyo mwenye sharubu. Hao samaki wanapatikana kwenye mito huko Amerika ya Kusini.
Wapo hawa tena Dar Maeneo ya kijitonyama kama unaenda kwa Alimaua kuna mto ndio nilipokuwa nawavua maana nimeishi maeneo hayo. Nia ni kutega kambale ila asubuhi unakuta amenasa yeye alafu kajivingirisha kwenye mitimiti chini. Tulikuwa tunawaua kwanza kwa kuponda kichwa chake tunanyofoa ndoano. Wanaharibu Sana timing ya kupata kambaleUlikuwa unamtoaje kwenye ndoano? Maana sio kambale huyo mwenye sharubu. Hao samaki wanapatikana kwenye mito huko Amerika ya Kusini.
Hapana Mkuu, nimekulana ngozi yake mara nyingi sana, unaisafisha ngozi yake kwa majivu kama unavyomsafisha kambale then unamkatata Kata vipande. Kwa kumkaanga anakuwa vizuri zaidi kuliko ukimbanikaNa kumla hadi achunwe ngozi.
Ukimfakamia na ngozi yake, ni sumu, unaondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee.... sikujua kama na huku wapo!! Balaa tupu hao viumbe.Wapo hawa tena Dar Maeneo ya kijitonyama kama unaenda kwa Alimaua kuna mto ndio nilipokuwa nawavua maana nimeishi maeneo hayo. Nia ni kutega kambale ila asubuhi unakuta amenasa yeye alafu kajivingirisha kwenye mitimiti chini. Tulikuwa tunawaua kwanza kwa kuponda kichwa chake tunanyofoa ndoano. Wanaharibu Sana timing ya kupata kambale
Huyu samaki anaitwa "electric ill"ni hatari sana anaua Mamba bila wasiwasi. Bwana mamba anapigwa shoti mpaka kifo chake.Mkunga aina ya poraquê (Electrophorus electricus) anaweza zalisha volts 650 za umeme. Samaki huyu hutumia umeme kujikinga dhidi ya maadui zake. Anaweza kukua hadi kufikia urefu wa mita 1.8. Anaishi kwenye maji baridi na anapenda mazingira ya tope. Wale wanaoishi kwenye maji chumvi maarufu kama Ibrahimu huzalisha volts220 tu
Makazi ya samaki huyu ni kwenye tope, pigo moja la samaki mkunga linatosha kumfanya mtu akose nguvu na azame majini, akipiga mara tatu ana uwezo wa kumuua mwanadamu
Inasemekana kuwa wale tunawaita chunusi, ni huyu samaki anapompiga shoti mwanadamu na kufanya mtu azame majini na kufa. Na kwa kuwa samaki hawa huishi kwenye tobe, watu wengi wanataja chunusi huwa ni maeneo ya tope ambayo ndio makazi ya mkunga
Samaki huyu ni kiumbe aliyevunja rekodi ya kuzalisha umeme mwingi
Samaki huyu amevunja rekodi ya kuzalisha umeme mwingi kati ya viumbe wote
Kilichoongelewa hapo ni 100% sure, baadae nilipokuja kujua sifa zake eel nilikuwanishakuwa na dijishugurishi tena nawe maswala ya uvuvi wa samaki mitoni. Ilikuwa kama sehemu ya makuzi tu. Ni Mungu tu maana hatukuwahi kukutana na balaa lake.Aisee.... sikujua kama na huku wapo!! Balaa tupu hao viumbe.