Electrical eel samaki anayetoa umeme

Huyu Mbona kama migebuka ya Kigoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe acha uongo hamna mgebuka asiyekuwa na magamba labda migebuka ya kolomije kwenye matope inayotokana na vyura wakiwa wadogo...wanaokatika mkia wanakuwa samaki kambaree,wasio katika wanaendelea kuwa vyura.
 
Hizo volts ni za Aina gani, DC ama AC (mkondo mnyoofu ama mkondo geu)?

Baada ya kuona picha yake, nikajua, huyo ni Kamongo. Kamongo anapenda tope. Sifa yake nyingine, hata kama umeisha mkata kichwa kikawa pembeni hata baada ya masaa sita, usijaribu kuingiza kidole ama sehemu yoyote ya mwili mdomoni mwake. Hafi haraka... anaondoka na sehemu yako ya mwili.
 
Chunusi ni mnyama aina ya jinni...linaloishi ndani ya mito,mabwawa na maziwa...huwa na muonekano wa mwanga mkali sana usiyovumilika kumtazama hakuna anayejua muonekano au sura ya chunusi.

Huishi kwa kunywa damu ya viumbe hai kama wanyama na binaadamu.
 
Naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MI nishawavua sana kwa ndoano bondeni wakati wa makuzi yangu.
Wanaliwa na ni watamu
 
MI nishawavua sana kwa ndoano bondeni wakati wa makuzi yangu.
Wanaliwa na ni watamu
Ulikuwa unamtoaje kwenye ndoano? Maana sio kambale huyo mwenye sharubu. Hao samaki wanapatikana kwenye mito huko Amerika ya Kusini.
 
samaki huyo yupo na chunusi yupo..
Nmecheka[emoji23] ila naunga mkono
anatisha yuko kama nyoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm nimemuona anatishaa
Naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]
 
Huyu ni kisanga 220v nk wakati nchi kama USA wanatumia 110v kwenye nyumba zao sasa hiki kiumbe dah 😂😂😂 ni something else 🔥
 
Ulikuwa unamtoaje kwenye ndoano? Maana sio kambale huyo mwenye sharubu. Hao samaki wanapatikana kwenye mito huko Amerika ya Kusini.
Wapo hawa tena Dar Maeneo ya kijitonyama kama unaenda kwa Alimaua kuna mto ndio nilipokuwa nawavua maana nimeishi maeneo hayo. Nia ni kutega kambale ila asubuhi unakuta amenasa yeye alafu kajivingirisha kwenye mitimiti chini. Tulikuwa tunawaua kwanza kwa kuponda kichwa chake tunanyofoa ndoano. Wanaharibu Sana timing ya kupata kambale
 
Aisee.... sikujua kama na huku wapo!! Balaa tupu hao viumbe.
 
Huyu samaki anaitwa "electric ill"ni hatari sana anaua Mamba bila wasiwasi. Bwana mamba anapigwa shoti mpaka kifo chake.
 
Aisee.... sikujua kama na huku wapo!! Balaa tupu hao viumbe.
Kilichoongelewa hapo ni 100% sure, baadae nilipokuja kujua sifa zake eel nilikuwanishakuwa na dijishugurishi tena nawe maswala ya uvuvi wa samaki mitoni. Ilikuwa kama sehemu ya makuzi tu. Ni Mungu tu maana hatukuwahi kukutana na balaa lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…