Electricity penetration in Africa: Kenya at 84.5%, Tanzania at 39.5% - what is not happening Tanzania?

Electricity penetration in Africa: Kenya at 84.5%, Tanzania at 39.5% - what is not happening Tanzania?

Iyo taarifa ya 2018 leo ni 2021 kwann una rely kwenye vitu vya kale unakumbuka hata Kenya 2014 mwanzoni mlikuja ldc
NIMECHEKA SANA, 2019, TANZANIA ILIKUWA LDC, 2020 TANZANIA IKAWA LOWER MIDDLE, WE KEEP ON CHANGES!
 
Kenya tunazungumza kuhusu kufikia azma yetu ya universal 'coverage', yaani 100%, wakati majirani bado wanahesabu vijiji. 😆 Levels fellas, levels!
 
Yes, that's why it's 75% for Kenya and 35% for Tanzania. As it stands, it's 85% for Kenya and 37% for Tanzania. Ama ulitaka nilete neno la kutamkwa la mwanasiasa kama mnavyofanya.
20210202_084338.jpg
 
So your dumb skull thinks the world bank knows more than Tanzanians themselves
Wacha kutuletea hapa uongo wa minister wenu. Either ulete report kamili ya Tanzania bureau of statistics au world bank au ukae kimya. Usituletee upuzi wako huku. Hatutambui matamshi ya mwanasiasa kama reputable source of information.
 
"Energy minister has announced"
Ulitaka nani afanye anouncement kama sio the minister responsible for energy? Au ulitaka usikie announcement toka kwa Mzungu ndio uamini? You are acting like you are mentally colonised.
 
Back
Top Bottom