Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 1897298
Ni plane tiller
Hi inatumika kwenye ndege
Rubani ataisukuma kwenda kushoto akiwa analengo la kupeleka ndege kushoto au kinyume chake
Ikiwa aridhini bado
Zinatofautiana kimuonekano na kila toleo la ndege
Japo kazi ni moja.
[emoji3516]View attachment 1897320
Ushakiuliza kwanini gurudumu za formula 1 hazina kashata
Hazina kashata ili tyre surface yote igandamize aridhini ili gari iweze ku accelerate kwa haraka
Pia na kuzuia maji kujipenyeza katikati ili gari isivute pembeni.
[emoji3516]
MKUU,
KWEMA KABISA HAPO MABIBO, N.I.T?
.Dunia ina mengi ambayo yapo kwenye mazingira yetu ya kila siku,ila wengine wanajua wewe haujui.
Wewe unajua wengine hawajui,
Share unacho kijua tuongeze ujuzi.
Karibu.
Mining mashineHi n structure y nn mkuu
Mtambo ambao una muunganiko pia.Atar sana mkuu
N ya electronics?
Yaa hiyo nayo inafanya kazi mfanano wa boton ya volume ya mashine fulani[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu huwezi amini hata hiyo mabibo siojui
Anyway tulizoea kua kwenye gari pedal ya acceleration inakua na cable ambyo dereva akikanyaga inaenda kwenye engine inavuta kitu gani kile sikifahamu kwakua me sio fundi magari ila nnahisi ni kwenye car breta[emoji848][emoji848] nme refer kwenye pikpik
Kisha gari itaongeza speedView attachment 1900172
Hi hapa juu ni electonics accelerator yenyewe inafanya kazi kwa mfumo wa signal
Unapokanyaga unaunganisha baadhi ya waya na waya
Hivyo taarifa inaenda kwenye computer
Kisha computer itapeleka taarifa kwenye engine
Wajuzi wa mambo waingie hapa watupe somo........
View attachment 1900182
Nikaifananisha na hi potentiometer
Ya radio
Ukizungusha unaongeza na kupunguza resistance ndio maan sauti inakua kubwa au ndogo[emoji848]
Hii picha ni ya model ya ndege ikiwa kwenye chemba maalumu inayoitwa wind tunnel. Hapa kwenye tunnel kuna fanyika kitu kinaitwa aerodynamic test kwa model ya ndege inayotarajiwa kutengenezwa .View attachment 1900418
Nishajiulizaga sana na pia ni nini huamua rangi ya manyoya ya kukuView attachment 1901514
Ushawahi jiuliza kipi kinaamua rangi ya mayai?