Eleza chochote unachokijua ili watu waongeze ujuzi

Kadri unavyojiongezea (kunywa/kula) dozi ya dawa nje ya utaratibu wa kitaalamu (kujiongezea dozi kubwa), either ya kutuliza maumivu au nyinginezo kwa ajili ya kujitibu haraka,
Ni kwamba hauongezi kupona haraka (potency) bali unajiongezea sumu ya dawa hiyo mwilini (Toxicity).
 
Hili ni aircraft wing .hivyo vichuma kama nyaya vinaitwa static discharger kazi yake kubwa ni kama waya wa earth .
Kumbuka ndege inapopita angani kwa kasi tuseme spidi ya 420knots , ndege inatengeneza electric charges .na hizi charges zikijitengeneza kwenye uso wa ndege (surface) inaleta hitilafu kwenye vifaa vya kuongozea ndege vilivyopo ndani (onboard navigation communication) kwa hiyo hivi vi electric discharger kazi yake ni ku discharge hizo electric charge mbali na ndege .
Credit:Quora.com View attachment 1901827

Haya ni maajabu mkuu
Inabidi nkachimbie na mimi
Kujua how vina ground hizo charger bila ya kwenda ground
 
Kadri unavyojiongezea (kunywa/kula) dozi ya dawa nje ya utaratibu wa kitaalamu (kujiongezea dozi kubwa), either ya kutuliza maumivu au nyinginezo kwa ajili ya kujitibu haraka,
Ni kwamba hauongezi kupona haraka (potency) bali unajiongezea sumu ya dawa hiyo mwilini (Toxicity).

Safi mkuu
Hi n kwasisi wazee wakumeza dicroper
 
Hi ni software ua kwenye simu
Ina ditect speed ya mwendo
Sasa je ni vip phone inaweza ku hisi mwendokasi
IMG_4384.png
 
Wali wa kwenye gesi ukitaka Uive vizurii bila kua na kiini pikia maji BARIDI.
Na hakikisha unatumia moto mdogoo baada ya maji kupungua/kuisha.
Napika hapa nikaona nishee.
So unauosha halafu unatia kwenye sufuria yako yenye maji baridi na kuinjika kwenye jiko ?
 
Hili ni aircraft wing .hivyo vichuma kama nyaya vinaitwa static discharger kazi yake kubwa ni kama waya wa earth .
Kumbuka ndege inapopita angani kwa kasi tuseme spidi ya 420knots , ndege inatengeneza electric charges .na hizi charges zikijitengeneza kwenye uso wa ndege (surface) inaleta hitilafu kwenye vifaa vya kuongozea ndege vilivyopo ndani (onboard navigation communication) kwa hiyo hivi vi electric discharger kazi yake ni ku discharge hizo electric charge mbali na ndege .
Credit:Quora.com View attachment 1901827
Mkuu Uzi mzuri Sana Ila hivi viwaya mbona kwenye ndege nyingine havipo?
 
Mie hua nauosha na ukaanga kidogo kwenye mafuta then natia maji baridi. Ila hata kwa kuweka kwenye maji baridi moja kwa moja pia inawezekana.
Ooh, sawa nilitaka kujua... coz bila kuukaanga, nadhan hauwezi kuwa mtamu na wenye ladha nzuri
 
Back
Top Bottom