Eleza chochote unachokijua ili watu waongeze ujuzi

Eleza chochote unachokijua ili watu waongeze ujuzi

Wali wa kwenye gesi ukitaka Uive vizurii bila kua na kiini pikia maji BARIDI.
Na hakikisha unatumia moto mdogoo baada ya maji kupungua/kuisha.
Napika hapa nikaona nishee.
Ahsante sana,Mkuu Nimejalibu hili matokeo ni mazuri.

Asante sana.
 
Anaitwa peregrine falcon
Ndio mnyama na ndege mwenye speedi kari zaidi
Akienda 390km/h
 

Attachments

  • IMG_4924.jpg
    IMG_4924.jpg
    18.8 KB · Views: 22
IMG_7709.jpg

Ushajiuliza gari inarudi vipi nyuma...
Yess dereva atabadili gear kwenye R
Ikiwa na maana ya reverse yaani nyuma!
Je ushawaza kitu gani kinafanyika kwenye gearbox (transimission line)


It was my question

Kuna kitu kinaitwa idle gear
Hi ni gear (hiyo nyekundu)
Inayowekwa kati ya gear inayoendesha na inayoendesha
Bila kubadili uwiano wa speed
Hivyo katikati ya mchakato huo ndio tunapata revers

Rejea picha hapo juu[emoji1369] tazama uelekeo wa gear inayoendesha tuite ni hiyo A na inayoendeshwa tuseme ni B
Alafu tazama uelekeo wa gear ya katikati
Simply hiv ndivyo tunapata reverse
 
Haya ni maajabu mkuu
Inabidi nkachimbie na mimi
Kujua how vina ground hizo charger bila ya kwenda ground
Hamna mkuu charge huwa zinapenda kuji accumulate kwenye area ndogo ndomana ule nguzo ya radi huwa inakuwa imechongwa vizuri kule juu
JPEG_20220726_141042_4777483346878727667.jpg
 
IMG_7789.jpg

Another one
Hi ni steering wheel ya gari (formula 1)
Zinatofautiana kadri ya campun yake... ama kwa lugha nyingine hazifanani
Japo zinakuonekano mmoja ila kila kampuni ina mpangilio wake

Button zote unazoziona zinakazi yake kila moja kwa namna yake
Zipo zinazodeal na breki,mawasiliano na gear shifter up na down
Kitu pow zaidi ni kua crutches za gari hizi ziko kwa mfumo wa button na sio pedal


2 kuna drink button

Hi ukibonyeza kunakua na pipe inayotoka kwenye bank yako yakimiminika na kwenda had kwenye helement yako hivyo ni sawa na kusema hiyo button ni pumb button au inayopeleka taarifa kwenye pump ya water,juice yako

Kamanakuona bwana [mention]Extrovert [/mention] ungeweka ka castle lite hapo[emoji16]
 
IMG_8717.jpg

Gari za umeme hujichaji zenyewe pale zinapofunga breki....


Ukiwa kwespeed na ukita kupunguza mwendo wazo la breki litakuja kichwani kwako
Pindi unapokanyaga breki kwenye gari za umeme
Ule msuguano wa kuzuia chombo kisisogee kati ya tairi na mfumo wa brake kuna mfumo umetengenezwa na kuwekwa hapa katikati
Mfumo huo utabadili kutoka nguvu ya kinetiki kwenda kwenye joto kisha mfumo utabadili joto hilo kwenda kwenye umeme
Kisha umeme huo utarudi kwenye battery pack na kuendelea kuipa chaja gari yako.
 
Back
Top Bottom