kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
- Thread starter
- #61
Gari za umeme hazina mfumo wa gear kama gari zingine zinazotumia engine za mafuta
Hivyo ni sawa na kusema EV (electrical vehicle )
HAZINA GEAR BOX
Bali zina selector tu
Additionally knowledge [emoji1314][emoji1314]Kwa wale waliosoma physics wanaelewa
Au unaweza jaribu mwenyewe kwa motor hata za redio na betri ya simu yako
Mota ina nyaya mbili
+ na -
Au hasi na chanya
Ukichukua waya wa +(chanya) ukaweka kwenye battery sehemu ya +
Kisha ukichukua waya wa _ ukaweka sehemu ya -
Motor itazunguka kwenda mbele yaani mzunguko wake utatokea jicho la kushoto kwenda kulia
Ila ukigeuza waya za battery tu mzunguko wake utakua kinyume!
Hivyo selector hiyo kazi yake ni kuhamisha line(waya) za umeme kwa kuzigeuza (poralty )