Uchawi is realDunia ina mengi ambayo yapo kwenye mazingira yetu ya kila siku,ila wengine wanajua wewe haujui.
Wewe unajua wengine hawajui,
Share unacho kijua tuongeze ujuzi.
Karibu.
Nilikuwa mchawiWewe mchawi?
Tuambie kitu kimoja au viwili unafikiri uchawi unaweza kusaidia jamii kwa ujumla, na vipi uchawi ni tricks tuu au ni zaidi ya hapo, tupe ukweli kuhusu uchawi ambao sio rahisi kuamini kwa asiyejua? tufundishe kitu kimoja interesting kuhusu uchawi kinachoweza kumsaidia mtu wa kawaida bila kumuumiza mwingineNilikuwa mchawi
Ukiniambia faida za madawa ya kulevya nitakuambia faida za uchawiTuambie kitu kimoja au viwili unafikiri uchawi unaweza kusaidia jamii kwa ujumla, na vipi uchawi ni tricks tuu au ni zaidi ya hapo, tupe ukweli kuhusu uchawi ambao sio rahisi kuamini kwa asiyejua? tufundishe kitu kimoja interesting kuhusu uchawi kinachoweza kumsaidia mtu wa kawaida bila kumuumiza mwingine
Uzuri nimewahi kuyatumia, unajisikia vizuri sana na inakufanya unakuwa na furaha sana, no stress maisha yanakuwa rahisi sana na unasahau shida zote za hii duniaUkiniambia faida za madawa ya kulevya nitakuambia faida za uchawi
Uchawi ndio nao uko hivyoUzuri nimewahi kuyatumia, unajisikia vizuri sana na inakufanya unakuwa na furaha sana, no stress maisha yanakuwa rahisi sana na unasahau shida zote za hii dunia
Wewe kweli mchawi maana sio rahisi kuwaelewaUchawi ndio nao uko hivyo
Dah umetishaa[emoji28][emoji28]Uchawi ndio nao uko hivyo
[emoji28][emoji28]Wewe kweli mchawi maana sio rahisi kuwaelewa
Lakini gear sio kwa reverse pekee vp kwa kazi zingine kama milima ,tope na nkView attachment 2600820
Gari za umeme hazina mfumo wa gear kama gari zingine zinazotumia engine za mafuta
Hivyo ni sawa na kusema EV (electrical vehicle )
HAZINA GEAR BOX
Bali zina selector tu
Additionally knowledge [emoji1314][emoji1314]Kwa wale waliosoma physics wanaelewa
Au unaweza jaribu mwenyewe kwa motor hata za redio na betri ya simu yako
Mota ina nyaya mbili
+ na -
Au hasi na chanya
Ukichukua waya wa +(chanya) ukaweka kwenye battery sehemu ya +
Kisha ukichukua waya wa _ ukaweka sehemu ya -
Motor itazunguka kwenda mbele yaani mzunguko wake utatokea jicho la kushoto kwenda kulia
Ila ukigeuza waya za battery tu mzunguko wake utakua kinyume!
Hivyo selector hiyo kazi yake ni kuhamisha line(waya) za umeme kwa kuzigeuza (poralty )