Mkuu mimi kwa siku natumia sh elf tanoSiku 5 unakula tu elfu 30
Nipe mbinu zako mkuu unawezaje mambo haya
Utaoa wewe kweli??? Mbona kama mmmh hayaMkuu mimi kwa siku natumia sh elf tano
Asubuhi Chai elf mbili
Mchana deshi deshi pas ndefu
Usiku chakula cha elf mbili wali au ugar plus vocha, maji ya kunywa nanunuaga yake ya afya 3800 unatumia karibia mwezi
Mkuu tesha kaishia wapi?Asante sana kaka
SawaMkuu tesha yupo imara sana
Kuna vikao vingi sana jeshini kuhusu yeye
Makamanda wanasema kawaheshimisha sana
Ni mjomba wako?Amna Yule sio mwanajeshi.
😆😆Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Sisi ambao ni mpaka uingie mjini ndo upate hela ya kula yaan usipoingia mjini basi huli, huwa mda mwingi ni waoga sana.
Baada ya leo kupata habari kwamba Tesha katikisa nchi kama ilivyokuwa imetapakaa huko mtaan, nikaenda kwa wadeni wangu wakanilipa elf 30 yangu nikaificha kwenye kidocho.
Naamin kesho na kesho kutwa tutaamka na habari mpya, hivyo nimejipanga kabisa vyema.
MUNGU MWENYEZI ambariki sana, Captain Tanganyika Tesha John.
SAYUNI BOY.
Nisaidie afukumi mkuuAmani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Sisi ambao ni mpaka uingie mjini ndo upate hela ya kula yaan usipoingia mjini basi huli, huwa mda mwingi ni waoga sana.
Baada ya leo kupata habari kwamba Tesha katikisa nchi kama ilivyokuwa imetapakaa huko mtaan, nikaenda kwa wadeni wangu wakanilipa elf 30 yangu nikaificha kwenye kidocho.
Naamin kesho na kesho kutwa tutaamka na habari mpya, hivyo nimejipanga kabisa vyema.
MUNGU MWENYEZI ambariki sana, Captain Tanganyika Tesha John.
SAYUNI BOY.
Ni nani?Amna Yule sio mwanajeshi.