Elia F Michael
Member
- Mar 3, 2018
- 75
- 800
Nashukuru Mungu nimejaza na kuirudisha fomu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo unachekesha kinyama yan
Kama akipitishwa na chama chake hilo linawezekana coz huwa hawalitegemea sana box la kura, kimbembe ni kupitishwa kwenye kura za maoni ukizingatia yeye ni kidagaa tu.Unaweza kuona kama anachekesha, ila siasa za bongo wote ni wamoja tu.
Si ajabu akashinda ubunge.
Kama akipitishwa na chama chake hilo linawezekana coz huwa hawalitegemea sana box la kura, kimbembe ni kupitishwa kwenye kura za maoni ukizingatia yeye ni kidagaa tu.
Aliwahenyesha kwa nguvu ya mabadiliko lakini si yeyeMkuu kwa nini unasema yeye ni kidagaa?
Unasahau kama aliwahenyesha hawa hawa CCM akiwa CDM? Na kama unavyojua kawaida ya Mkulu wetu, anapenda wapinzani sana.
Huwezi jua.
sasa unadhani huko CCM watu wamelala wanamsubiri yeye wakuja aje awaongoze?Mkuu kwa nini unasema yeye ni kidagaa?
Unasahau kama aliwahenyesha hawa hawa CCM akiwa CDM? Na kama unavyojua kawaida ya Mkulu wetu, anapenda wapinzani sana.
Huwezi jua.
Aliwahenyesha kwa nguvu ya mabadiliko lakini si yeye
sasa unadhani huko CCM watu wamelala wanamsubiri yeye wakuja aje awaongoze?
huyu alikua mbunge wa upinzani kabla ya kununuliwa??Siyo swala la kulala, msimu huu utakuwa ni wa maajabu sana kwenye selections za chama.
Nilichosema ni kwamba anaweza kupita kwa kuteuliwa na Chama, ila swala la kura za wananchi ni issue nyingine.
Kina Mtulia, Julius, Mwita na wengine wote waliokacha upinzani walipita kugombea tena, je waliokuwepo walikuwa wamelala?
Mkuu awanu hii Magu atakuwa makini, malalamiko ya kupendelea wapinzani ni makubwa mno ndani ya ccm, lazima apunguze na kuheshimu kura za maoni.Sawa, nafikiri ile ilimpa edge kwa Magu, na inaweza kuwa karata itakayompa kuteuliwa na CCM.
Point yangu ni kwamba, CDM imekuwa kama ni chama cha ku groom vijana kisiasa na Magu anawatumia hawa hawa, angalia kwa kiasi kikubwa fursa alizowapa waliotoka upinzani utaelewa point yangu.