Uchaguzi 2020 Elia Michael: Nimejaza na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Jimbo la Buyungu

Joined
Mar 3, 2018
Posts
75
Reaction score
800
Nashukuru Mungu nimejaza na kuirudisha fomu

IMG_20200716_095409_428.jpg
 
Kama akipitishwa na chama chake hilo linawezekana coz huwa hawalitegemea sana box la kura, kimbembe ni kupitishwa kwenye kura za maoni ukizingatia yeye ni kidagaa tu.

Mkuu kwa nini unasema yeye ni kidagaa?

Unasahau kama aliwahenyesha hawa hawa CCM akiwa CDM? Na kama unavyojua kawaida ya Mkulu wetu, anapenda wapinzani sana.

Huwezi jua.
 
Aliwahenyesha kwa nguvu ya mabadiliko lakini si yeye

Sawa, nafikiri ile ilimpa edge kwa Magu, na inaweza kuwa karata itakayompa kuteuliwa na CCM.

Point yangu ni kwamba, CDM imekuwa kama ni chama cha ku groom vijana kisiasa na Magu anawatumia hawa hawa, angalia kwa kiasi kikubwa fursa alizowapa waliotoka upinzani utaelewa point yangu.
 
sasa unadhani huko CCM watu wamelala wanamsubiri yeye wakuja aje awaongoze?

Siyo swala la kulala, msimu huu utakuwa ni wa maajabu sana kwenye selections za chama.

Nilichosema ni kwamba anaweza kupita kwa kuteuliwa na Chama, ila swala la kura za wananchi ni issue nyingine.

Kina Mtulia, Julius, Mwita na wengine wote waliokacha upinzani walipita kugombea tena, je waliokuwepo walikuwa wamelala?
 
huyu alikua mbunge wa upinzani kabla ya kununuliwa??

tuanzie hapo kwanza.
 
Sawa, nafikiri ile ilimpa edge kwa Magu, na inaweza kuwa karata itakayompa kuteuliwa na CCM.

Point yangu ni kwamba, CDM imekuwa kama ni chama cha ku groom vijana kisiasa na Magu anawatumia hawa hawa, angalia kwa kiasi kikubwa fursa alizowapa waliotoka upinzani utaelewa point yangu.
Mkuu awanu hii Magu atakuwa makini, malalamiko ya kupendelea wapinzani ni makubwa mno ndani ya ccm, lazima apunguze na kuheshimu kura za maoni.
Kwa kura za maoni mpinzani kupita ni wachache mno
 
Back
Top Bottom