Elias Maguri kaonesha uzalendo mechi ya Stars vs Bafana Bafana

Elias Maguri kaonesha uzalendo mechi ya Stars vs Bafana Bafana

sio ajabu

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
217
Reaction score
138
Kaongea kiswahili safi kabisa baada ya kuelewa swali la mrembo yule "*mtangazaji*" likitaka nini na kuonesha utanzania halisi ki roho safii hakutaka kuanza *"ze....ze.....ze....mechi.........(malizia)*"

Ongera sana brother.
 
Amefanya vyema.
Ila naona kocha mkuu ameongea "kiinglishi" bila matatizo
 
Kaongea kiswahili safi kabisa baada ya kuelewa swali la mrembo yule "*mtangazaji*" likitaka nini na kuonesha utanzania halisi ki roho safii hakutaka kuanza *"ze....ze.....ze....mechi.........(malizia)*"

Ongera sana brother.

Sasa unampongeza kwa kuwa ' man of the match ' kama ulivyotuandikia au kwa kuongea Kwake Kiswahili badala ya ' Ung'eng'e ' alioulizwa?

Halafu katika lugha ya Kiswahili hatuna neno ' Ongera ' bali tuna neno ' Hongera '.
 
Nampongeza kwa hilo. Mungu amsaidie afike mbali sana
 
unajuaje kama ameonyesha uzalendo au labda hakuelewa!!!!!!!!
 
Wale wasauzi walijihakikishia kucheza nusu fainali kwa kuibeza timu yetu,nachopongeza kwa stars ni kukataa gori walilofungwa lisirudishwe hayo ni maendeleo makubwa kwa hiki kichwa cha mwendawazimu.
 
Kaongea kiswahili safi kabisa baada ya kuelewa swali la mrembo yule "*mtangazaji*" likitaka nini na kuonesha utanzania halisi ki roho safii hakutaka kuanza *"ze....ze.....ze....mechi.........(malizia)*"

Ongera sana brother.
Nafhani pale yai halipndi mkuu,Mayanga ndo kaonesha uzalenfo kwamba Watz nasi English tunaijua
 
19601302_1970185719673665_1461188687495127168_n.jpg
 
Yule mtangazaji inaonesha kiswahili..alimuuliza tu swali moja mwisho akamalizia thank you..
 
Mbona hata Mzamiru last match aliulizwa kiingereza akajibu kiswahili. Acheni ushamba hapa final ya confed jamaa ana bonga kijerumani na tai shingon tu
 
Back
Top Bottom