Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaongea kiswahili safi kabisa baada ya kuelewa swali la mrembo yule "*mtangazaji*" likitaka nini na kuonesha utanzania halisi ki roho safii hakutaka kuanza *"ze....ze.....ze....mechi.........(malizia)*"
Ongera sana brother.
Maguli hakutaka ufedhuri kajipigia cha Magufuli hataki ujinga kazi kwa mtangazajiAmefanya vyema.
Ila naona kocha mkuu ameongea "kiinglishi" bila matatizo
OkayHii timu inatakiwa iitwe HAPA KAZI TU
Nafhani pale yai halipndi mkuu,Mayanga ndo kaonesha uzalenfo kwamba Watz nasi English tunaijuaKaongea kiswahili safi kabisa baada ya kuelewa swali la mrembo yule "*mtangazaji*" likitaka nini na kuonesha utanzania halisi ki roho safii hakutaka kuanza *"ze....ze.....ze....mechi.........(malizia)*"
Ongera sana brother.
unajuaje kama ameonyesha uzalendo au labda hakuelewa!!!!!!!!
kocha kaborong ngeli..ila mtangazaji ananivutia sanaAmefanya vyema.
Ila naona kocha mkuu ameongea "kiinglishi" bila matatizo