Elibariki Kingu: Mpina alilipa kila chombo cha habari 10,000,000, wabunge watoa tamko kumlaani wakinukuu korani na biblia

Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo.

Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani.

Elibariki Kingu ameeleza Bunge kwamba Mpina alilipa kila chombo cha habari milioni kumi ili kusambaza habari zake za uongo na za ufitini. Watu wanahoji Mpina alipata wapi zaidi ya milioni 150 kulipa vyombo hivyo, na baadhi wanasema alifadhiliwa na mabwana zake wenye viwanda vya sukari.

Mpina ajitafakari
Gwajima hana moral authority ya kumlaani mtu yeye alijirekodi wakati anapiga miti,na pia alivunja ndoa ya Emmanuel Mbasha.
 
Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo.

Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani.

Elibariki Kingu ameeleza Bunge kwamba Mpina alilipa kila chombo cha habari milioni kumi ili kusambaza habari zake za uongo na za ufitini. Watu wanahoji Mpina alipata wapi zaidi ya milioni 150 kulipa vyombo hivyo, na baadhi wanasema alifadhiliwa na mabwana zake wenye viwanda vya sukari.

Mpina ajitafakari
Vyombo gani hivyo? Maana kama ni habari kurepotiwa sana ni humu jf na mitandao mingine! Hebu vitaje! Hivi bei ya sukari ni Tsh ngapi mkoani kwako?
 
Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo.

Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani.

Elibariki Kingu ameeleza Bunge kwamba Mpina alilipa kila chombo cha habari milioni kumi ili kusambaza habari zake za uongo na za ufitini. Watu wanahoji Mpina alipata wapi zaidi ya milioni 150 kulipa vyombo hivyo, na baadhi wanasema alifadhiliwa na mabwana zake wenye viwanda vya sukari.

Mpina ajitafakari
Mtu aliyefanya mapenzi na muhumini wake na kujirekodi kweli anaweza akatoa hata laana? 😂😂😂😂😂
 
Huenda watu hawajui maana ya jina Mpina,maana yake ni mtu mkiwa,hasa baada ya kufiwa,mara nyingi mtu wa hivi huwa na stress pamoja na msongo wa mawazo uakiambata na kutoa hoja/maneno yasiyo na mashiko
 
Uko kwako sukari ni Tsh ngapi?
 
Huenda watu hawajui maana ya jina Mpina,maana yake ni mtu mkiwa,hasa baada ya kufiwa,mara nyingi mtu wa hivi huwa na stress pamoja na msongo wa mawazo uakiambata na kutoa hoja/maneno yasiyo na mashiko
Huenda watu hawajui maana ya jina digba, maana yake ni mwanamke malaya, hasa ambaye amechokwa wanaume hawamtaki tena. Amepwaya sana.
 
Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo.

Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani.

Elibariki Kingu ameeleza Bunge kwamba Mpina alilipa kila chombo cha habari milioni kumi ili kusambaza habari zake za uongo na za ufitini. Watu wanahoji Mpina alipata wapi zaidi ya milioni 150 kulipa vyombo hivyo, na baadhi wanasema alifadhiliwa na mabwana zake wenye viwanda vya sukari.

Mpina ajitafakari.
View attachment 3025121
Mpina anavuna alichopanda yeye na Magufuli.

Wakimalizana watakulana.....G.LEMA
 
Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo.

Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani.

Elibariki Kingu ameeleza Bunge kwamba Mpina alilipa kila chombo cha habari milioni kumi ili kusambaza habari zake za uongo na za ufitini. Watu wanahoji Mpina alipata wapi zaidi ya milioni 150 kulipa vyombo hivyo, na baadhi wanasema alifadhiliwa na mabwana zake wenye viwanda vya sukari.

Mpina ajitafakari.
View attachment 3025121
Wanafiki wakubwa hawa wabunge. Si ndio hawa hawa walipititisha kwa kauli moja kwa muda mfupi tu ule mswaada wa kuwapa falme ya dubai bandari zetu zote waandeshe kama mali yao? Baada ya ile safari wakiongozana na mama falme ya dubai huko inaelekea walipewa mlungula kila mmoja. Kurudi hapa wakiongozwa na speaker hadi speaker akawatukana wanaopinga kama ni wapumbavu. Kama wamemlaani mpina na sisi tunawalaani wao wote. Tukutane 2025.
 
Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo.

Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani.

Elibariki Kingu ameeleza Bunge kwamba Mpina alilipa kila chombo cha habari milioni kumi ili kusambaza habari zake za uongo na za ufitini. Watu wanahoji Mpina alipata wapi zaidi ya milioni 150 kulipa vyombo hivyo, na baadhi wanasema alifadhiliwa na mabwana zake wenye viwanda vya sukari.

Mpina ajitafakari.
View attachment 3025121
Mpina avuliwe ubunge na afukuzwe chamani
 
Huenda watu hawajui maana ya jina Mpina,maana yake ni mtu mkiwa,hasa baada ya kufiwa,mara nyingi mtu wa hivi huwa na stress pamoja na msongo wa mawazo uakiambata na kutoa hoja/maneno yasiyo na mashiko
Digba kwa kiethiopia inamanisha shoga. Mwanaume anayelalwa na wanaume wengine.
 
Harafu we mrembo siku hizi umetokea kunikasirikia baada ya kukataa ule mchezo wa pwani,sasa umekuja na hoja ya kunizushia,ok nimeghairi,nimekubali ombi lako,nitakupa mkikimbo hadi usahau password na username yako ya jf
 
Bunge limetumia nguvu sana kumtuliza Mpina, ila wamechelewa sbb habari ya ripoti tayari iko kila sehemu, sasa hata akipewa adhabu, kaweka ripoti yake public..!!
 
Back
Top Bottom