Elimika hapa bure

Dah! Mimi huwa natembea na zote mbili eti!! ๐Ÿ˜
 
Wakileta vya auto flash basi tumekwisha๐Ÿ˜‚
Hahahah tulifika mahali huko ughaibuni tulikuwa wanafunzi wa kibongo tukapewa lunch ya maana sana
Watu wakaanza kwenda chooni.. Maana ile lunch safi ikawa inasukuma vile vilivyokuwa tumboni vitoke
Guess what happened! ๐Ÿ˜€
Zile flush zilikuwa za kinyangema sana ni automatic ukinyanyuka tu zinaflush halafu hakuna kelele kama hizi za kwetu.. Aisee yale maji hayakuwa na nguvu ya kusukuma ile mizigo yetu๐Ÿ˜€
Kwahiyo ilikuwa ikimaliza inabidi ukae tena halafu unyanyuke . kuna mwana ilibidi arudie mara nne๐Ÿคฃ
 
Hakua mpare kweli huyo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
"Wale mnaopenda kubonyeza zote mbili mkome mara moja ๐Ÿ˜€".
Na wewe utukome, sisi tuuze maji wewe unataka kutuvurugia faida tunayoipata, wewe mwenzetu angalau unauza mitishamba sisi hatukuingilii.
 
Elimu ya maana toka kwa kada wa Chadema. Itawasaidia pia wana ccm kuokoa bill ya maji japo huenda hawalipi bill za maji.

Chawa Tlaatlaah na Etwege wa Ikungi, Singida ambaye pia ni shabiki mkubwa wa Tundu Lissu wamepata darasa toka kwa mwanachadema.
 
elimu kubwa zaid iko hapa gentleman na sio vinginevyo ๐Ÿ’
 
Attachments

  • โ€Ž@6โ€™2_Jayโ€Ž20241019โ€Ž_Phoenix.mp4
    1.8 MB
Asante studio ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ