Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Wakileta vya auto flash basi tumekwisha😂😀😀😀 Mama pretty hiyo ni dharura inakubalika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakileta vya auto flash basi tumekwisha😂😀😀😀 Mama pretty hiyo ni dharura inakubalika
HahahKumbeee, nlikua sijui....nmepata elimu
Dah! Mimi huwa natembea na zote mbili eti!! 😁Kuna miamba huwa inadhani hizi button ni kubonyeza tu. Sasa kaa hapa nikupige shule kidogo.
Hivi vyoo vinaitwa Dual flushing buttons au dual-flush toilets kwa lugha janja ya kimombo.
Ni vyoo vya kisasa vilivyokuwa modified ili kupunguza matumizi ya maji.
Lengo kuu la vyoo vya dual-flush ni kupunguza matumizi ya maji.
Kwa kutoa machaguo mawili ya kusukuma maji, mtumiaji anaweza kuchagua kiasi kinachofaa cha maji kulingana na aina ya taka.
Button kubwa hutoa takriban lita 6-9 za maji kwa taka ngumu—hii ndio ya sh¡t sasa kama ukienda kupuu.
Button ndogo inatoa lita 3-4.5 kwa taka ya majimaji— ya kojo.
Kwa kutumia button inayofaa unaweza kuokoa hadi lita 20,000 za maji kila mwaka.
Kupunguza matumizi ya maji kunaweza kukupunguzia gharama za bili za maji.
Wale mnaopenda kubonyeza zote mbili mkome mara moja 😀.
Bila shaka umepata kitu.
Credit: Twaha Mwaipaya FBView attachment 3133544
Hahahah tulifika mahali huko ughaibuni tulikuwa wanafunzi wa kibongo tukapewa lunch ya maana sanaWakileta vya auto flash basi tumekwisha😂
Hakua mpare kweli huyo😂😂😂Hahahah tulifika mahali huko ughaibuni tulikuwa wanafunzi wa kibongo tukapewa lunch ya maana sana
Watu wakaanza kwenda chooni.. Maana ile lunch safi ikawa inasukuma vile vilivyokuwa tumboni vitoke
Guess what happened! 😀
Zile flush zilikuwa za kinyangema sana ni automatic ukinyanyuka tu zinaflush halafu hakuna kelele kama hizi za kwetu.. Aisee yale maji hayakuwa na nguvu ya kusukuma ile mizigo yetu😀
Kwahiyo ilikuwa ikimaliza inabidi ukae tena halafu unyanyuke . kuna mwana ilibidi arudie mara nne🤣
Nishomile....Zile nyumba zangu zote kule Manhattan niliweka huu mfumo
Ukute ni vile mlitoka navyo usukumani...aloo vitakuwa vimebaki hadi leo, wadosi wanafanyia uchunguzi!vile vilivyokuwa tumboni vitoke
"Wale mnaopenda kubonyeza zote mbili mkome mara moja 😀".Kuna miamba huwa inadhani hizi button ni kubonyeza tu. Sasa kaa hapa nikupige shule kidogo.
Hivi vyoo vinaitwa Dual flushing buttons au dual-flush toilets kwa lugha janja ya kimombo.
Ni vyoo vya kisasa vilivyokuwa modified ili kupunguza matumizi ya maji.
Lengo kuu la vyoo vya dual-flush ni kupunguza matumizi ya maji.
Kwa kutoa machaguo mawili ya kusukuma maji, mtumiaji anaweza kuchagua kiasi kinachofaa cha maji kulingana na aina ya taka.
Button kubwa hutoa takriban lita 6-9 za maji kwa taka ngumu—hii ndio ya sh¡t sasa kama ukienda kupuu.
Button ndogo inatoa lita 3-4.5 kwa taka ya majimaji— ya kojo.
Kwa kutumia button inayofaa unaweza kuokoa hadi lita 20,000 za maji kila mwaka.
Kupunguza matumizi ya maji kunaweza kukupunguzia gharama za bili za maji.
Wale mnaopenda kubonyeza zote mbili mkome mara moja 😀.
Bila shaka umepata kitu.
Credit: Twaha Mwaipaya FBView attachment 3133544
Hili nalo nenoKakaaaa Mshana Jr muda mwingine zigo linakua kubwa halafu upo ugenini kwa hiyo unajikuta tu umebonyeza vyote ukiwa unasubiri kuhakikisha kama limeshuka lote😂😂😂
elimu kubwa zaid iko hapa gentleman na sio vinginevyo 🐒
Ukorofi huo😂😂Alikuwa msukuma🙌🏿🙌🏿🏃🏿🤣
Haswaaaaaaa… tena wenye viba100 huwa mna mizigo mizito😷😂😂😂Hili nalo neno
Asante studio 🤣 🤣 🤣Kuna miamba huwa inadhani hizi button ni kubonyeza tu. Sasa kaa hapa nikupige shule kidogo.