Elimika hapa bure

Elimika hapa bure

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kuna miamba huwa inadhani hizi button ni kubonyeza tu. Sasa kaa hapa nikupige shule kidogo.

Hivi vyoo vinaitwa Dual flushing buttons au dual-flush toilets kwa lugha janja ya kimombo.

Ni vyoo vya kisasa vilivyokuwa modified ili kupunguza matumizi ya maji.

Lengo kuu la vyoo vya dual-flush ni kupunguza matumizi ya maji.

Kwa kutoa machaguo mawili ya kusukuma maji, mtumiaji anaweza kuchagua kiasi kinachofaa cha maji kulingana na aina ya taka.

Button kubwa hutoa takriban lita 6-9 za maji kwa taka ngumu—hii ndio ya sh¡t sasa kama ukienda kupuu.

Button ndogo inatoa lita 3-4.5 kwa taka ya majimaji— ya kojo.

Kwa kutumia button inayofaa unaweza kuokoa hadi lita 20,000 za maji kila mwaka.

Kupunguza matumizi ya maji kunaweza kukupunguzia gharama za bili za maji.

Wale mnaopenda kubonyeza zote mbili mkome mara moja 😀.
Bila shaka umepata kitu.

Credit: Twaha Mwaipaya FB
FB_IMG_1729699408119.jpg
 
Credit: Twaha Mwaipaya FBView attachment 3133544
Asante kwa elimu hii.
 
nisemee kwa kweli nashukuru... ninacho lakini mimi mwendo wa kubofya zote mbili leo ndipo hapa kwenye thread hii nimeelewa maana yake. nilidhani mbwembwe tu
 
Umenikumbusha mbali sana kaka Mshana Jr. Kuna jamaa yetu fulani ameenda kuchumbia bhana, wamefika taratibu zote zikakamilika basi ukafika wakati wa diko...sasa nisijue ikawaje maake yule Bwana amekula vijiko kama vitano na finyango chache za nyama, saa ngapi tumbo si likaanza kusokota asee!! Hivi na vile jamaa katoka nje kimyakimya kaenda uwani...Kwa speed ya tumbo hakukagua maji kama yapo bombani ama kwa hiyo flasher...jamaa kafika kamwaga zigo la uharo kama lote...alipopata afueni sasa si akataka kuchamba na kuflash, kasheshe likaanzia hapo alafu mind, ni ukweni hapo na Binti hakuwa around....you know hakukuwa na maji kwenye flasher, hakukuwa na toilet paper wala maji kwenye ndoo au bombani....ghaiiii sitasau hiyo aibu ya mwaka......
 
Back
Top Bottom