Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kuna miamba huwa inadhani hizi button ni kubonyeza tu. Sasa kaa hapa nikupige shule kidogo.
Hivi vyoo vinaitwa Dual flushing buttons au dual-flush toilets kwa lugha janja ya kimombo.
Ni vyoo vya kisasa vilivyokuwa modified ili kupunguza matumizi ya maji.
Lengo kuu la vyoo vya dual-flush ni kupunguza matumizi ya maji.
Kwa kutoa machaguo mawili ya kusukuma maji, mtumiaji anaweza kuchagua kiasi kinachofaa cha maji kulingana na aina ya taka.
Button kubwa hutoa takriban lita 6-9 za maji kwa taka ngumu—hii ndio ya sh¡t sasa kama ukienda kupuu.
Button ndogo inatoa lita 3-4.5 kwa taka ya majimaji— ya kojo.
Kwa kutumia button inayofaa unaweza kuokoa hadi lita 20,000 za maji kila mwaka.
Kupunguza matumizi ya maji kunaweza kukupunguzia gharama za bili za maji.
Wale mnaopenda kubonyeza zote mbili mkome mara moja 😀.
Bila shaka umepata kitu.
Credit: Twaha Mwaipaya FB