DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Serikali kuhusu Elimu bure waliamua kufanya siasa tupu , Watu wanamaliza hawajui hata kusoma vizuri na Kuandika
Juzi nimechart na wanawake kumi wapo chuo kikuu, nimechart nao lugha ya kingereza wote wamelalamika kuwa nawaumiza hawajui kingereza so wameomba nitumie Kiswahili au nitumie kihaya niseme hizi Elimu bure ni siasa tupu , unapewa Elimu bure ambayo haina faida katika career yako.
Pia nimewagusia kufungua Biashara ya upambaji bado hawaelewi wanadai upambaji sio Kazi yaani inasikitisha Sana, Lengo lao niwagusie mizagamuo tu and not about career.