Unamlalamikia nani, wakati unapata raha na mkeo hatimaye mkazaa ulitegemea nani aje kumlisha mtoto wako? Mbona unakuwa zuzu hivyo? Eti Bure huoni hata haya mwanaume na pumbu zako, mnakera! Ndio maana mnaliwa kwasababu mnapenda vya bure.Nimepita huku kijiweni Baba mmoja hapa Dar anadai kutozwa Elfu4 kwa wiki kwa ajili ya chakula, 500 kwa ajili ya maji, 500 kwa ajili ya mlinzi, na alilipa 1,000 kwa ajili ya kitasa cha mlango (Kiliharibika wakatakiwa kuchangia). JUMLA 6,000...
Ungekuwa wewe ungeambiwa Elimu Bure usinge zaaa?Unamlalamikia nani, wakati unapata raha na mkeo hatimaye mkazaa ulitegemea nani aje kumlisha mtoto wako? Mbona unakuwa zuzu hivyo? Eti Bure huoni hata haya mwanaume na pumbu zako, mnakera! Ndio maana mnaliwa kwasababu mnapenda vya bure.
Unataka kusema Elimu bure haijawahi kuwepo?Sina hakika unataka kusema nini. Ila nikuwe sawa labda utaweka wazi lengo halisi,
1. Katika maigizo ya awamu iliyopita na hata sasa haikuwepo ELIMU BORA YA BURE na ushahidi ni matokeo ya kidato cha nne ya mwaka huu.
2. Pamoja na maigizo ya elimu bure, ktk awamu ya tano hakukuwa na chakula mashuleni hivyo suala la chakula limeanzishwa awamu hii.
3. Kama ulikuwa hauijui awamu ya tano imeacha madeni makubwa mashuleni ya walinzi ambao hawakulipwa hadi sasa. Mzingo huo sasa imezilalia Manispaa/ halmashauri ambazo sasa zimetoa kibali cha michango ya walinzi.
3. Ama kuhusu kulipia kitasa ni sheria ya kawaida iliyopo hadi leo kwamba mwanafunzi akiharibu au kupoteza kifaa cha shule mzazi atawajibika kulipa.
4. Kwa maana hiyo hadi sasa hakuna kilichobadilika maana hii elimu bure bado ina mapungufu mengi Sana yakiwemo madarasa kujengwa bila kuwa na madawati ikiwafanya wanafunzi wengi kukaa sakafuni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unamlalamikia nani, wakati unapata raha na mkeo hatimaye mkazaa ulitegemea nani aje kumlisha mtoto wako? Mbona unakuwa zuzu hivyo? Eti Bure huoni hata haya mwanaume na pumbu zako, mnakera! Ndio maana mnaliwa kwasababu mnapenda vya bure.
Ilikuwepo awamu ya Nyerere tu, haya mengine ni maigizo.Unataka kusema Elimu bure haijawahi kuwepo?
Kitu gani kimekufanya umukumbuke mwamba kwenye huu uzi?
Umechanganya madawa hapa. Embu tulia kwanza uandike upya nielewe.Ilikuwepo awamu ya Nyerere tu, haya mengine ni maigizo.
Mwamba a.k.a Jiwe nimemkumbuka kea kuwa ndiye aliyetulisha matobgopori kuwa kwa sasa kuna elimu bure huku yakiwa ni majanga kama nilivyokupa mfano wa matekeo ya elimu bure wa zero na div four nyingi Sana, lakini pia walinzi wamedhulumika Sana na bado ni changamoto.
Walimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Serikali mpaka leo bado inasema elimu ni bure, lakini ukipita huko mashuleni utakutana na utitiri wa michango, walimu lazima watafute pa kutokea.