Elimu, Fedha, Zisikutoe Kwenye Nafasi yako Mwanamke.

VVIPTZ

Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
16
Reaction score
18
Sifa Kuu ya Nafsi ni kujihesabia haki hata kama imekosea, ni vigumu kukubali makosa, Sio Ajabu ukaona Mtu badala ya kutengeneza Mambo, anazidi kuharibu, kwani tayari Moyo Umeumia. Na watu wanaomsikiliza Wanaambukizwa Roho YA Uchungu na Ukosefu wakifikiri wanakuwa empowerd. Kumbe Cheo na Nafasi walizonazo ndizo zinafanya watu waamini makosa yao kuwa ni sahihi kumbe, wamekosea. Be CAREFUL.
 

Attachments

  • file_0000000005ec71fb90bbbe8b165347d8.png
    2.2 MB · Views: 10
Kinachowachefua ni kufua boksa.Ngoja tuone.@khantwe aione kwenye jalada kwa ufafanuzi
 
Elimu na kazi hata sio tatizo tabu ni Ile hulka ya mwanamke halafu awe na hivyo vitu ni noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…