PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ww nkumalize hakuna passo ya cc950Mafundi mmekutana! Ila hata mimi nakukubalia hizo point zako, umeme unaozalishwa hauna uhusiano na ulaji wa mafuta zaidi ya kutumika sehemu nyingine.
Mimi nadhani mafuta yanatumika sana kama gari ina mzigo..unaeza kuta kirikuu ya cc650 ikala mafuta kuliko passo ya cc950 kwa sababu kirikuu inabebeshwa mzigo mkubwa au hata body yake ikawa nzito.
Vitu vingine ni balance ya mafuta na hewa. Hakuna kingine, labda iwe inatumia vyote umeme na petrol consecutively! Mleta mada kaja kufanya promo ya kuagiza magari au kutapeli watu akijifanya anaagizia watu magari.....mwizi mkubwa!
Vpi kuhusu cc 4500
Ukiacha izo gari ulizoweka hapo zipo nyingine zenye cc650 zinazotumia mafuta kidogo?????
Linganisha vw golf 1.6fsi na VW golf 2.0fsi.Je ni kweli cc ndogo inakula mafuta kidogo?
Za mwaka gani? na yeye alizungumzia za mwaka gani?Linganisha vw golf 1.6fsi na VW golf 2.0fsi.
1920Za mwaka gani? na yeye alizungumzia za mwaka gani?
Asee basi sawa1920
Vpi kuhusu cc 4500
...anazunguka tu mjini bila sababu.....!Hivi mtu unauliza kama gari inakula mafuta sasa wew ulitaka ile maji wakati yenyewe inatumia mafuta
Hakuna gari inayokula mafuta Bali matumizi yako ya gari ndio kipimo sahihi cha ulaji wa mafuta
Mm na kaa mbezi ya kimala
Na wew unakaa mbezi ya kimala
Wew unatumia Haria mm natumia Suzuki Escudo
Weka lita 10 na mm niweke 10 twende poster nakirudi halafu uone hayomafuta Kama yanatofauti
Unakuta mtu Anazunguka tu mjini bila sababu mara huku Mara kule
Halafu baadae utasikia Sarah gari inakula mafuta
Kwa nini isile nawakati wew unazunguka tu
Huenda alichanganya fuel injection vs carburetor ndio kamaanisha inatumia umeme...Wewe ndio mpotoshaji mkuu. Hizo kilowatt au bhp ni kipimo cha nguvu ya gari. Haina uhusiano wowote na umeme. Wapotoshaji wengi ndio huwa wanasema eti gari hii au ile umeme umeme mwingi mafuta kidogo.
Gari zote hapo ulizotaja hamna hata moja inayotumia umeme kupata nguvu ya kutembea hizo zinatumia petrol. Umeme unatumika kuendesha mifumo mingine wala sio kusukuma engine.
Gari za umeme ni hybrids ambazo zinahio engine ya petrol na electric motor ambayo inaendesha gari ikiwa mwendo mdogo, ikiwa mwendo mkubwa petrol engine inatake over. Au kuna gari ambazo ni electric kabisa ambazo huwa zinachajiwa betri zake ambapo utaendesha mpaka betri ikikaribia kwisha unachaji tena.
Cc za gari sio sababu pekee ya gari moja kutumia mafuta kuliko ingine ila ulichosema na wewe umepotosha.
Mkuu acha kubisha unajua mfumo wa vvti kwa Toyota unavyofanya kazi? Kama ungejua wala usingebishaWewe ndio mpotoshaji mkuu. Hizo kilowatt au bhp ni kipimo cha nguvu ya gari. Haina uhusiano wowote na umeme. Wapotoshaji wengi ndio huwa wanasema eti gari hii au ile umeme umeme mwingi mafuta kidogo.
Gari zote hapo ulizotaja hamna hata moja inayotumia umeme kupata nguvu ya kutembea hizo zinatumia petrol. Umeme unatumika kuendesha mifumo mingine wala sio kusukuma engine.
Gari za umeme ni hybrids ambazo zinahio engine ya petrol na electric motor ambayo inaendesha gari ikiwa mwendo mdogo, ikiwa mwendo mkubwa petrol engine inatake over. Au kuna gari ambazo ni electric kabisa ambazo huwa zinachajiwa betri zake ambapo utaendesha mpaka betri ikikaribia kwisha unachaji tena.
Cc za gari sio sababu pekee ya gari moja kutumia mafuta kuliko ingine ila ulichosema na wewe umepotosha.
Aisee, mzee umevunja vunja sana hapo.Sababu ya kwanza ya gari kama Pajero Mini na Terious Kid kutumia mafuta mengi zaidi ukilinganisha na gari nyingine nilizotaja haswa kutoka Toyota ni teknolojia. Teknolojia ya mfumo wa mafuta iliyotuika kwenye Mini au Terious Kidi ni ya kizamani ambayo gari hutumia mafuta zaidi katika kujiendesha, wakati hizi gari nyingine hutumia nguvu ya umeme zaidi katika uendeshaji wa gari. Mfano, Toyota Tercel ya mwaka 1996 yenye Cc 1330 huweza kuzalisha kilowati 66 ambayo huweza kuzungusha injini kwa mzunguko wa 5500 rpm, hivyo utaona kua tercel imetumia umeme mwingi zaidi katika kutengeneza mzunguko wa injini wakati Mini au Terious Kid ambazo nyingi zina mfumo wa zamani wa mafuta ujulikanao kama caburator huzalisha 37 kilowati ambayo huzungusha injini kwa mzunguko wa 7500 rpm.
Ni wazi wewe ni wale wale nafikiri hilo neno vvti ndio linakuzuzua. Btw sibishani na mtu yeyote. Haya nipe elimu ya vvti.Mkuu acha kubisha unajua mfumo wa vvti kwa Toyota unavyofanya kazi? Kama ungejua wala usingebisha
Na wengi ndio hii inawachanganya. Hasa hasa wakiona vvti.Huenda alichanganya fuel injection vs carburetor ndio kamaanisha inatumia umeme...
Ila sidhani kama from the 90s kuna gari za carburetor
Bado iko tatizo kwenye haya maelezo