ELIMU: Gari yenye Cc 650 kutumia mafuta kuliko gari yenye Cc 1300

Alichikiongea jamaa ni sahihi ila amefanya misconception katika kupresent.

Miaka ya nyuma mifumo ya fuel injection ilikuwa ni full mechanical ambapo kwa sehemu kubwa walikuwa wanatumia Carburator. Kiasi kikubwa cha mafuta kilikuwa kinapotelea kwenye carburator hivyo hata kama gari ina Engine capacity ndogo lazima ionekane inakula mafuta.

Recently umekuja mfumo wa Electronic fuel Injection (EFI). Huu ni mfumo ambao ni computerized yaani unauwa na sensors, actuators na ECU. Ni mfumo wa injection ambao una efficiency kubwa sababu mafuta na hewa vitaingia kwenye engine katika amount ambayo inahitajika tu.

Kwa maelezo hayo siyo kitu cha ajabu kukuta gari ya cc 1000 ambayo ni inatumia carburator inakula mafuta zaidi au sawa na gari ya 1400cc ambayo inatumia EFI.

Nadhani nimeeleweka.
Umeeleweka haswa mkuu
 
Wewe ndio umeelezea vzr kiufundi kabisa.
Wengine wanaongea siasa tu.
Bahati nzuri nilisoma hizi syllabus kitambo so mtu anayeelezea ukweli namuelewa vzr.
 
Nakuunga mkono,ziko gari cc kubwa ila consumption ndogo,ila pia kuna factors nyingi zinachangia ulaji wa mafuta mfano mzigo,matairi e.g upana,upepo mdogo n.k,ukanyagaji wa mafuta,ukubwa wa gari,service,land terrain,upepo,matumizi ya AC,gear unayotembelea n.k...
Assume those factors you mentioned are constant,what are the other Technical major factors?
 
We changia mada,acha kutaka kujua kama najua au sijui,tatizo unataka umaarufu JF ili uonyeshe uko juu kwenye mechanics knowledge,ndio shida yenu mabishoo.If you have anything just contribute your ideas...
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umewahi kujihami
 
Na mimi
Mimi Nilikuwa nafanya kazi mahali kama Dereva Binafsi, Boss wangu alikuwa na Gari mbili Moja ni LAND CRUISE VXR 2016 Na LANDCRUISE TX 2015 Model,
Tx ya Mwaka 2015, petrol Ni balaa haitumii ufunguo inawaka kwa Batani tu hata Hivyo nilishangaa sana licha ya kuwa na engine kubwa inatumia mafuta kidogo sana.
KAWE BEACH- BAGAMOYO ni Mafuta ya 30,000 kwenda na kurudi na yanabaki mengine ya Kwenda Sinza- na kurudi kawe, Licha ya Mafuta kuwa 2350 per litre.
2. KIBITI PWANI - KAWE mafuta nilitumia ya 50,000 kwenda na kurudi na njiani speed kama nakimbiza Amburance..
Kwahiyo naamini kabisa kwamba Kuna gari licha ya kuwa na Engine kubwa lakini umeme unazalishwa Na kutumika mwingi zaidi ya Mafuta.

njiani speed kama nakimbiza Amburance..

😎😎 Endelea tu boss
 
Back
Top Bottom