Nakubali Makirita ni level nyingine ila wasifu wako umekosea mahala, jamaa kasoma Medicine.
Vilevile nilimuona BoT kati ya wale Certified Financial educators.
Mimi profession yangu ni money management, lakini nisingekua na hii elimu basi ningejifunza kwa huyu jamaa, kiukweli yupo bright na anajua anachoongea
Humu Jf kumeshakua tu kichaka cha jobless, ndo maana hata mimi kila muda utakuta naongelea ujinga tu ili kurefresh, ukileta mada kama hizi watakaokuwa serious wala hawatocomment bali watachukua namba au wakufuate PM,
JF ya miaka ile ilikua moto sana, watu walikua na akili, japo wengine wakaishia kujazwa kule Jangid plaza na yule Sir Jeff na toka hio event jf haijawa the same